- Thread starter
- #21
Pamoja na CDM kufanyiwa yote hayo unafikiri CCM hawalali kwa kuiwaza ACT au Chaumma.Okay, acha tuone. Ila mi naona kama cdm tumeumia lpaka sasa tumepigwa KO.
Lissu wetu ndani.
Cdm yetu imepigwa pini
Uchaguzi kama uko around the corner,
Sijui itakuaje?
Acha tuone lakini