Japo hujaelezea kwa mifano ya mambo yanayoendelea lakini hoja yako inastahili kuungwa mkonoNo Neforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni Chadema.
Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha uchaguzi kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.
Mark this Thread..
Wanaporuhusu madiwani wote waliochukua fomu itakuwaje kwa wagombea ubunge na je wanaccm watakubali fomu moja ya urais?Japo hujaelezea kwa mifano ya mambo yanayoendelea lakini hoja yako inastahili kuungwa mkono
Kibali cha nin?Hata kama watafanya uchaguzi hautakuwa na kibali.
Na ikawe hivyo.No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.
Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.
Mark this Thread..
Mkuu,No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.
Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No Reforms No Election kutimia.
Mark this Thread..
Nafikiri kutegemea watu wavurugane ili kutimiza agenda ya NRNE inakua kama ramli. Huwez tengeneza agenda ambayo utekelezaji wa mkakati wake unetegemea bahat nasibu ya sintofahamu kujitokeza kwa your counter-part kama hivi, oky, wasipovurugana je?? This is ridiculous.
Inawezekana ndiyo mipango yenyewe hiyo.Nafikiri kutegemea watu wavurugane ili kutimiza agenda ya NRNE inakua kama ramli. Huwez tengeneza agenda ambayo utekelezaji wa mkakati wake unetegemea bahat nasibu ya sintofahamu kujitokeza kwa your counter-part kama hivi, oky, wasipovurugana je?? This is ridiculous.
Kuna habari kuwa mwanamke mzanzibari atapendwa sana na mwenyezi Mungu hivi karibni.Mkuu,
Una habari zozote tofauti za kukufanya ufikiri hivi au ni hizi hizi tunazozijua wote za Malisa, Polepole, Mpina na Gwajima?
Hizi ni habari credible au ramli chonganishi tu?Kuna habari kuwa mwanamke mzanzibari atapendwa sana na mwenyezi Mungu hivi karibni.
Okay, acha tuone. Ila mi naona kama cdm tumeumia lpaka sasa tumepigwa KO.Inawezekana ndiyo mipango yenyewe hiyo.