GE2025 CCM ndio watakaozuia Uchaguzi Mkuu na kuusogeza mbele

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Okay, acha tuone. Ila mi naona kama cdm tumeumia lpaka sasa tumepigwa KO.
Lissu wetu ndani.
Cdm yetu imepigwa pini
Uchaguzi kama uko around the corner,
Sijui itakuaje?
Acha tuone lakini
Pamoja na CDM kufanyiwa yote hayo unafikiri CCM hawalali kwa kuiwaza ACT au Chaumma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…