CCM ni chama cha kipekee duniani

Watakuwa ni wachawi sana. Hadi wanaogopana kwa kurogana.
 
Nawapenda watu wasiojulikana coz wametuchangamsha akili, mafuvu yatarudushiwa akiki kwenye jamii zetu, binadamu akipata changamoto uwezo Wake wa kufikiri huongezeka
 
Na huo nao ni upekee wa CCM. Hawajulikani lakini wenyewe wanaamini wanajulikana ulimwenguni pote.

Kila wanachokifanya ni lazima waseme "haijawahi kutokea" Hawa jamaa kila wakifanyacho ni cha kipekee.
Hata watekaji hawawezi kujulikana kwasababu hawatakiwi wajulikane

Silence surrenders public responsibilities
 
Nawapenda watu wasijulikana coz wametuchangamsha akili, mafuvu yatarudushiwa akiki kwenye jamii zetu, binadamu akipata changamoto uwezo Wake wa kufikiri huongezeka
Kabisa...

CCM kipekee huamini wanachosema wao ndiyo kitu sahihi na kinatakiwa kuaminiwa na kila mtu.

Na upekee wa CCM huja pale baadhi ya watu wanapoanza kupinga hoja za CCM. Kwa kuwa CCM Ina upekee wa kutorekebisha makosa yake, kipekee kabisa hulazimisha wapingaji wauone ukweli uliomo kwenye hoja ya CCM.
 
CCM siyo chama Bali ni mkusanyiko au genge la majizi,matapeli na majinga yanayonufaika na ujinga wa wajinga.
 
Wanalazimisha watu wafikiri wanavyotaka wao, na wamegundua wanao waongoza ni masikini na ni wajinga wengine wakiona fursa ya mikopo wana ahirisha kufikir kwa nafsi wanakuwa wapumbavu, wakati wa uchaguzi ndipo kuna fursa, wanawapa mikopo eti ndiyo fursa, tena bila kuwapa elimu stahiki ya ujasiriamali
 
CCM DAIMA
 
CCM DAIMA
Ccm daima
 

Anayedhani amesimama.......Hata Bashir Al-Assad alisema Baath ni chama cha kipekee. Saddam Hussein pia alisema Baath ni chama cha kipekee.

Upole na uvumilivu wa watanzania unatakiwa uendane na uwajibikaji. Hakuna chenye mwanzo kinachokosa mwisho. Tutegemee CCM kuendelea sana kama kitaona na kutambua sababu ya kuendelea kuwa watumishi waaminifu wa watanzania.

Pasipo hapo, janja janja na huu ujinga wa kudhani kila kitu ni cast stone, mbele yetu, muda utaamua.
 
Upekee wa CCM unatokana tu na kua wanamiliki masanduku ya kura kiasi Cha kwamba wana uwezo wa kutengeneza matokeo yoyote yale wayatakayo.
 
Sema watanzania ni wa kipekee
 
Ni muda wa akina Tlaah,Choice,Comte,Kieembe kuburudika kwa kuwamudu na kupendwa na watanzani,acha wapige mvinyo muda ni wao ,pamoja na boss zao,acha walala njaa tusiwasumbue na mayowe yetu ya njaa.
 
Sababu Watanzania wenyewe wanakumbatia dini, kabila chama,mtu wa mjini au kijijini, utoto mwingi hawajui jinsi ya kuunganisha nguvu zao kwanza, kuangalia nani yupo serious na maendeleo.
 
Watakaokuelewa ni wachache sana! Ujumbe mzuri sana, hasa kwa wahusika!!
 
Watakaokuelewa ni wachache sana! Ujumbe mzuri sana, hasa kwa wahusika!!
Upekee huo wa kutokuelewa mambo ndiyo pia upekee wa CCM.

Kwa upekee wake, CCM haitaki watanzania wawe kama watu wa nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…