ni kama tu ulivyo upinzani wa Tanzania katika ujumla wake ulivyo wa kipekee,
yaani chuki imekithiri baina yao lakini pia, katika upekee wa vyama moja moja nya siasa, kuna chuki, uhasama na uadui wa kutisha ndani yake.
kwa mfano kuna vyama, ipo nafasi ya uongozi ni exceptional, unaambiwa ukitaka kuigombea hiyo ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi. huwezi kukuta kitu kama hiki dunia nzima, ispokua kwemye chama hiki cha siasa Tanzania pekee.
Zaidi sana,
vyama vingine vyote vya siasa vianweza kufanya chaguzi zao za ndani kwa salama na amani,
ila kuna chama lazima watu walowe kafara, lazima watu wachukuliwe misukule halafu eti inasingiziwa eti ni kidnapping dah...
upekee mwingine katika upinzani wa Tanzania,
ni uchu wa madaraka, tamaa ya mali na vyeo, wapinzani wako tayari kujiuza kama makahaba wa kisiasa, mbaya zaidi wako wanajioni ni malaika na wanajipa umuhimu wa kiwango cha zaidi ya Mungu, kwamba ati wanachosema wao tu ndiyo saihii wengine wakisema ni nongwa.
wapinzani Tanzania hawapendani na wanaogopana kama ukoma.
hakuna upinzani Tanzania, wenye nia, mipango au malengo ya kushika dola, kuunda serikali wala kuongoza nchi.
vyama vya siasa Tanzania ni kama saccos na vitega uchumi vya watu binafsi tu.