CCM ni chama cha kipekee duniani

CCM ni chama cha kipekee duniani

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.

CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.

Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.

CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.

CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.

CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
 
Unazungumza dunia ndani ya tanzania au dunia ya huko nje?
 
Basi iko hivi huko duniani hawana habari na ukija huku nchi ziliondelea hawafahu ccm ni kitu gani.
Ni kawaida. Hakuna jambo linalojulikana na kila mtu Kila mahali.

Zaidi ya yote waifahamu wasiifahamu, haiondoi ukweli kuwa CCM ni chama cha siasa kilichoko duniani.

CCM ni ya kipekee Sana. Hata iwe na viongozi wa hovyo hovyo, bado itaendelea kuwa ya kipekee.
 
Vyote ni sawa. Huwezi kuwa na ulimwengu bila kuwa na Dunia na Dunia Iko ulimwenguni.

Nyie CCM ni wa kipekee kabisa. Mmewezaje kushinda kwa 99% wakati huku mtaani jina la chama chenu likitajwa watu hutema mate chini?
Dunia iko kisayansi na ulimwengu uko Kiroho na Kisiasa

Standard ya ushindi duniani kote ni 84% kama alioshinda Shujaa Magufuli 2020 na iko kibiblia Kwamba ushindi wa Yesu pale Msalabani ulikuwa 10/12 x 100 =84%

99% ndio hayo mambo ya kiswahili aliyoyasema Makonda huko Arusha Leo 😄😄
 
Ni kawaida. Hakuna jambo linalojulikana na kila mtu Kila mahali.

Zaidi ya yote waifahamu wasiifahamu, haiondoi ukweli kuwa CCM ni chama cha siasa kilichoko duniani.

CCM ni ya kipekee Sana. Hata iwe na viongozi wa hovyo hovyo, bado itaendelea kuwa ya kipekee.
Unajua kuna vyama vikubwa na maarufu zaidi duniani kuliko ccm?
Ukija ulaya haswa maeneo ya london, ukiwaambia about ccm watakuuliza ndio kitu gani. Lakini hao hao ukiwauliza about democrat , rupublican and labor wanavijua nje ndani

Unaposema dunani maana yake watu wote au asilimia kubwa duniani wanafahamu , else kuna dunia nyingine
 
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.

CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.

Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.

CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.

CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.

CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
ni kama tu ulivyo upinzani wa Tanzania katika ujumla wake ulivyo wa kipekee,
yaani chuki imekithiri baina yao lakini pia, katika upekee wa vyama moja moja nya siasa, kuna chuki, uhasama na uadui wa kutisha ndani yake.

kwa mfano kuna vyama, ipo nafasi ya uongozi ni exceptional, unaambiwa ukitaka kuigombea hiyo ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi. huwezi kukuta kitu kama hiki dunia nzima, ispokua kwemye chama hiki cha siasa Tanzania pekee.

Zaidi sana,
vyama vingine vyote vya siasa vianweza kufanya chaguzi zao za ndani kwa salama na amani,
ila kuna chama lazima watu walowe kafara, lazima watu wachukuliwe misukule halafu eti inasingiziwa eti ni kidnapping dah...

upekee mwingine katika upinzani wa Tanzania,
ni uchu wa madaraka, tamaa ya mali na vyeo, wapinzani wako tayari kujiuza kama makahaba wa kisiasa, mbaya zaidi wako wanajioni ni malaika na wanajipa umuhimu wa kiwango cha zaidi ya Mungu, kwamba ati wanachosema wao tu ndiyo saihii wengine wakisema ni nongwa.

wapinzani Tanzania hawapendani na wanaogopana kama ukoma.
hakuna upinzani Tanzania, wenye nia, mipango au malengo ya kushika dola, kuunda serikali wala kuongoza nchi.

vyama vya siasa Tanzania ni kama saccos na vitega uchumi vya watu binafsi tu. :pulpTRAVOLTA:
 
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.

CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.

Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.

CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.

CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.

CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Upekee wa CCM ni pale ambapo Mtu yeyote awaye yote akijiunga tu na chama hiki, anakuwa ZUZU. Yaani akiingia tu ndani ya chama, akili zake zinapungua kwa zaidi ya 70%.
Hata kama ndugu yake atauawa kwa sababu tu yeye ni wa chama kingine, yeye atafurahi na kushangilia. Huo ndo upekee wa CCM. Sijajua Mtu akiingia huko ndani ananyweshwa dawa gani?
 
Blah blah nyingi, situmii akili za nje,nakupa fact
Dunia ni kubwa na ime contain nchi nyingi, you just cant say duniani if 80% ya nchi duniani hawakijui kama kipo
Na huo nao ni upekee wa CCM. Hawajulikani lakini wenyewe wanaamini wanajulikana ulimwenguni pote.

Kila wanachokifanya ni lazima waseme "haijawahi kutokea" Hawa jamaa kila wakifanyacho ni cha kipekee.
 
Back
Top Bottom