Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.