CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

Kwa viongozi hawa wa CCM walio madarakani na udhaifu wao ulioshikiliwa na uongo, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka tusiombe tujikute siku moja tuko vitani na moja ya nchi jirani.
Tutapigwa kama ngoma maana
viongozi hawa hawajui kuwaunganisha raia na kuipenda nchi yao wao wanathamini kuzungukwa na wasanii wa aowaimbia sifa tuu
 
Netanyahu aliwadharau Hamas lakini ndio hivyo anachezeshwa Ngoma mwaka sasa

Putin aliwachukulia poa Ukraine lakini kinachomkuta kila mtu ni shahidi

Heri Nusu shari kuliko shari kamili

Amani ya nchi hii ni muhimu

Mlale Unono 🐼
 
Uko sahihi
 
hadi unaona aibu kutaja au kueleza mbadala wake πŸ’
 
Kuwa mwangalifu sana dhidi ya hao Watu. Sio Watu wazuri hata kidogo.

Mwenzako Horace Kolimba alihamishwa kutoka kwenye sayari hii ya dunia baada ya kuponzwa na kauli yake na kutamka kwamba Hilo "kusanyiko" lao limepoteza dira na mwelekeo."
 
Kuna wahuni wachache mle chamani ndio wanaharibu. Chama hakina shida.
 
Dhaifu mno....hakiwezi kushindana kwa jambo lolote na kikashinda.

Nape alisema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…