CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.

Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji ,Polisi na Usalama, wakipiga Risasi .

Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
nonsense 🐒
 
Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.

Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji

Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Kwa namna unavyowahamu polisi wa nchi, laiti angekuwepo raia yoyote aliyekuwa na silaha na amethibitika aliuua raia au polisi October 2025 unadhani bado angekuwa uraiani?
 
Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.

Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji

Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Kwa akili yako kidogo unaju bunduki tu ndio inauwa watu

USSR
 
Walivyotifanyia wadanganyika haitasahaulika MILELE
 
Back
Top Bottom