Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
nonsense 🐒Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.
Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji ,Polisi na Usalama, wakipiga Risasi .
Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Weka picha ,Wacha kuharishanonsense 🐒
ni nonsense kubabaika na porojo 🐒Weka picha ,Wacha kuharisha
Kwa namna unavyowahamu polisi wa nchi, laiti angekuwepo raia yoyote aliyekuwa na silaha na amethibitika aliuua raia au polisi October 2025 unadhani bado angekuwa uraiani?Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.
Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji
Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Kwa akili yako kidogo unaju bunduki tu ndio inauwa watuKila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.
Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji
Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Kasheshe.
Ya Panga je au mkuki, au kisu unayo??Kwa akili yako kidogo unaju bunduki tu ndio inauwa watu
USSR
Kibipi mkuu maana hoja hujibiwa kwa hoja au??nonsense 🐒
Weka mwenye mshale au sumu mkuu😀😀😀😀Kwa akili yako kidogo unaju bunduki tu ndio inauwa watu
USSR