Rama Unene
Member
- May 8, 2017
- 26
- 11
Hawana jipya CCM wacha wapigwe sana kwa wabunge na madiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washindwe tu CCM wenyewe wamechokana huku kwenye mmmmhCCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
Yesu so Mkuu unatwambia upinzani octoCCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
Atakaetumia kete hii ya wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5 pamoja na suala la mazingira ya biashara kutokuwa mazuri kwa wafanyabiashara kutokana na kodi za TRA nauhakika lazima atashinda Uchaguzi huu.Kuna kete ya kutopandishwa mishahara kwa watumishi ndani ya miaka mitano,hii kete muhimu Sana,mwaka huu kwa watakaojua kuitumia.
Hakuna mtumishi wa kawaida wa umma anaeikubali ccm kwa kutokuongezewa mshahara miaka 5,hawasemi Ila kwenye maofisi vijiwe vyao wanasema Sana.
Binafsi si mwanachama wa chsms chochote hapa Tz ingawa nimekuzwa ktk family ya CCM. Inapokuja kuhusu siasa zs vyama vyrtu hass upinzsni kiykweli wanafanya kazi nzur sana kuiamdha serikali juu ya mambo ya msingibkwa maendeleo ya taifa letu na wananchi pia kweli tunechoshwa na mambo mengi ya chama tawala ikiwemo Ufisadi, CCM ni chama tawala hivyo kuig'oa inahitaji zsid ya upinzani yaan CCM wamejiimarisha iwe kwa uhalali au kwa kuiba ila wana mzizi mkubwa san na wanajua kuitumia nafasi vizur zaid. Ypinzani wana makosa ambayobkwao hudhan ni faida kwao na ndobhu1 anguko lao kubwa. Mfani huu mchwzo wa kunadi mafisadi na kuja kuwakumbatia baada ya kutoka chama tawala ni kosa sana inaweza kua na maana wao wanajiimarisha ila hawaaminiani na sie wananchi hua tunakumbuka haiwezrkani fisadi wa ccm leo awe msafi kisa tu amehamia upinzani tena kwa muda mfupi, tunapemda maendeleo ila hapa ndo ccm inapowazidi akili. Wamu hii ya Tano hata kama ina mapungufu lkn imepitia changamoto kadhaa kubwa na imefanikiwa kuanzia miundombinu, kupunfuza urasimu, usawa na uthubutu wa kiongozi wake mkuu ktk maamuzi magumu kutokana na historia ya awamu xilizopita sasa 2020 uchaguzi huu Upinzaniukitaka kuharibu zaid na kupata matokeo mabaya zaid kuliko miaka mingi ya nyuma ilirudie tena baadhi ya michwzo kipuuzi.CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
Wacha weee!!!!CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
Mkuu unaizungumzia CCM ya nchi gani? Kama ni TANZANIA pole!CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
Yaani nacheka mpaka mbavu zinaumaNini kitawapa tabu? Chadema? Hii hii ya kina Mbowe?
Siku hizi wamekuwa comedy show [emoji23][emoji1787]Kucheka kunaongeza siku za kuishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda ya nchi nyengineHahahaaaa...... Chadema hii hii ya akina Sungura?!!
Unaniudhi Sana,unaniudhi,unawaamsha wa Nini,aaaagh.CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.
Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.
Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.
Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!
Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.
Hakuna tena mzaha!
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.