Uchaguzi 2020 CCM Oktoba itapata tabu sana, nasema itapata tabu sana!

Uchaguzi 2020 CCM Oktoba itapata tabu sana, nasema itapata tabu sana!

miezi kadhaa tu imebaki tuone kiburi chenu kwenye kampeni yaani katika ya mwaka wenye aibu kwa cdm basi ndo huu
najua ndo furaha yenu kuona wamepotea ila nakuhakikishia hao mliowachukua watawagharimu pakubwa sana
 
hakuna cdm damu damu aje kwenu akawaacha salama madhara yake hayawezi onekana leo
 
najua ndo furaha yenu kuona wamepotea ila nakuhakikishia hao mliowachukua watawagharimu pakubwa sana

ni kwa sababu wako ccm ndo unasema watatugharimu? wakiwa cdm ndo wema ?? hii michezo ccm wamecheza sana wameshawachezea mpaka cdm, 2015 sasa unataka kuwafundisha nn ccm??
 
Kwaiyo sisi sisiemu pa1 na Alliance yetu mtatugaragaza .
Wakisema watawagaragaza ni wao miaka tano wamepelekwa puta hadi wanazima huko dodoma kwa kukosa chakufanya.
Wamefungwa midomo yaani CHADEMA IMEKUFAGA SEMA WANANCHI WANAOWAPENDA WANAJIPA MOYO ILA KIUKWELI WAO NI ZEROOOO.
HATA WAO WANAJUA SAIVI NANI ANAONGEA TENA DODOMA KAMA MMBUNGE MPINZANI KWA MAKEKE HAKUNA WAMECHOKA KUPELEKWA PUTA JUENI HILI CCM ITAONGOZA MPAKA MWISHO WA DUNIA HAKUNA CHAMA PINZANI KUKAA IKULU NYIE MTABAKIA TU WABUNGE NA MADIWANI BASI.
POLENI CHADEMA NA VYAMA VINGINE .
Tatizo mbembwe nyingi matendo ni zeroo.
Na ideas zenu za kuwania kiti sio za watu kuzisubiria watu wazifanye.
 
Sisi sisiemu tumeungana na Nccr + cuf na Tlp
 
Mwanzo nilijua hii thread ya 2010 or 2015??

Lakini kwa bahati mbaya hii thread inazungumzia Uchaguzi wa October 2020...Nimeumia sana baada ya kuona Tanzania bado ina Mapunguani na baadhi ya watu wenye fikra za kiajabu ajabu.

Sawa Tundu A. Lissu anakuja/amekuja kufanya nini?? ok, ni Mtanzania...Je atafanya nini??
 
Back
Top Bottom