Uchaguzi 2020 CCM Oktoba itapata tabu sana, nasema itapata tabu sana!

Mikakati ni ipi ? Kuishi kwa nadharia ni mateso ya mwili na roho
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!

Day Dreaming! CCM itazoa 95% ya kura zote! Upinzani wanajivuruga wenyewe kwa wenyewe, vyama 12 dhidi ya Maalim Seif vimeshaanza. CUF against ACT-Wazalendo, Chadema na TLP against vyama vyote ya upinzani, mchezo uleule wa 2015 lakini with wider diversity.
 
Huu ujinga unapatikana wapi? Maana mwenye akili hawezi kuwaza kuwa ccm itapata shida yoyote....ccm itapita kila eneo bila shida.

CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
 
CCM Hawajielewi kabisa na bado hawawezi kusoma alama za nyakati.Na wasifikilie kuwa hiyo alliance yao na NCCR Mageuzi itawasaidia kitu, hiyo ndo itawamaliza zaidi.

😂 😂 😂 😂 : ccm waliwapa mgombea 2015 alafu wakamrudisha, kiulani wala hakuna nguvu ilitumika, yaani ichi chama chenu ni bora kifutwe tu, mitego midogo ya ccm mmeshindwa mnategemea kuweza mtego gan sasa wa kimataifa! kwa jinsi tu mlikua mnatoa mada kipindi cha corona ni wazi mweupe kabisa chama hakina sera , hakijui kinaenda wap yaani mnajua tu kuanguka kwenye ngazi na kuvaa gloves nyeusi
 
Nini kitawapa tabu? Chadema? Hii hii ya kina Mbowe?
swali zuri maana sanduku la kura wanamiliki wao si watanzani

kingine hakuna atakayeenda kupiga kura nikiwepo mimi ni upotezaji wa muda wako na ujinga
 
😂 😂 😂 😂 : ccm waliwapa mgombea 2015 alafu wakamrudisha, kiulani wala hakuna nguvu ilitumika, yaani ichi chama chenu ni bora kifutwe tu, mitego midogo ya ccm mmeshindwa mnategemea kuweza mtego gan sasa wa kimataifa! kwa jinsi tu mlikua mnatoa mada kipindi cha corona ni wazi mweupe kabisa chama hakina sera , hakijui kinaenda wap yaani mnajua tu kuanguka kwenye ngazi na kuvaa gloves nyeusi
hamna tego wa ccm bali mtego cdm ndo uliowajeruhi mpaka tukashuhudia yanayotendeka tz
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!

1593278263919.png

mtu mwenyewe mnaenda kushindana nae ndo huyo ata akienda kukagua miradi watu wanajaa ivi, sasa mnategemea kura gan ama ndo mnataka kubaki na title ya chama kikuu cha upinzani? hujaona nccr wanavuta maelfu ya wanachama wapya wakati wanachama wenu wenyewe wameichoka hio cdm
 
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika.

Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama.

Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa CCM na CCM yenyewe walishaenea kwenye kiganja.

Lissu kaingia mpaka ndani ya Tanzania na yupo salama. Vijana tumefanya kazi! Tupo imara!

Subirieni mtanange kwanza tunawasambaratisha kwa fitina kisha tunawagaragaza uwanjani.

Hakuna tena mzaha!
Bangi + Konyagi = Chadema.
 
swali zuri maana sanduku la kura wanamiliki wao si watanzani

kingine hakuna atakayeenda kupiga kura nikiwepo mimi ni upotezaji wa muda wako na ujinga

1593278391469.png

hata kura akipewa ahesabu KUB hakuna namna mnaweza kuwashawishi hawa jamaa wawapigie: yaani nyie hamna ata sera mnalia tu tume huru wakati ndo hio hio wabunge wenu wameshinda kupitia hio. yaani cdm should be deleted,
 
View attachment 1490426

hata kura akipewa ahesabu KUB hakuna namna mnaweza kuwashawishi hawa jamaa wawapigie: yaani nyie hamna ata sera mnalia tu tume huru wakati ndo hio hio wabunge wenu wameshinda kupitia hio. yaani cdm should be deleted,
hapo mwisho ndo utapogundua mtu aliyejeruhiwa marinda
 
mtu wa ccm akisikia cdm akiwa usingizini anatoka na bastola mpaka nje huku haongei
 
Huu uzi umekosewa sio wa kule kwa wagonjwa wa akili....??au uko field unasomea political science"???? Au una bonasi ya bundle la MB ??au huna kazi za kujishughulisha??
 
Kama mmeshindwa kabisa hata kufanya mkutano mkubwa wa madhara ndani ya miaka minne, ndani ya Mwezi Oktoba ndio mtaweza?

Kujifurahisha tu katika maswala ya msingi badala ya kujipangia kimkakati!
Hamna uwezo wa kuitoa ccm madarakani msijidanyane
Upinzani nchi hii bado sana yaani upinzani kuchukua hii nchi bado sana. Pambaneni na nafasi ya ubunge na udiwani kwanza tena muweke mipango ya miaka 25 mbele kuweza kuwa na idadi ya wabunge sawa na chama tawala ndio muwaze uraisi
CDM inaogopwa mno ndio maana JPM anajua kabisa bila kucheza rafu hapenyi.
 
siyo kuogopwa tu wamefikia level ya kuwatoa ikulu na wako serious wao ni mafia na cdm waeiga umafia vile vile ukiingia kwenye anga zao unafanyiwa vile vile
 
Back
Top Bottom