DE N, unaweza usiwe utaratibu, ila minyukano inayoendelea inawakela, namtakia kila la heri katika harakati zake za kutujuza.......leta nyeti Kilewo.Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi?
Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi?
kuna hatari, huku ndan hakutamaniki kabisa.
mkulu yupo kimya anawaangalia waheshimiwa wanavyotupiana maneno.
naona makundi mawili huku ndani ila kusema kweli kundi la lowasa lina nguvu sana.
muheshimiwa mmoja amesema ili aman ya yerusalem(nadhan anamaanisha Tz) ipatikane inabidi lowasa awajibishwe. la sivyo hata akifa na akamkuta lowasa mbinguni kwa Mungu baba basi atamuomba Mungu ampeleke jehanam kuliko kukaa pepon na lowasa''.

Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi? naona kila wakibana nyeti zinatoka nje
next time ntawashauri wakafanyie kikao mikese huko
Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi? naona kila wakibana nyeti zinatoka nje
next time ntawashauri wakafanyie kikao mikese huko
Duh! Watu kama Mafisi vile tunangoje Mkono uanguke tusherehekeee, Hauanguki huo washapatana tangu last week Mjengoni, baadaye watakutana Ukumbi wa Pius Msekwa wakitumbuizwa na Hadija Kopa, huku blues kubwa ikitumbuiza, Mzee JSCM akishikilia kiuno cha Mama Sophia Lion, huku RA akiwa na Mama yetu wa Same, Sekurakamba aking'ang'ania kiuno cha Manyanya aah Blues tamu hilo huku wakingongeana Shampeni na kutakiana maandalizi mema ya Uchaguzi ujao
ccm ndiyo mwisho wake ddoma hawatoke na chama kipindi hiki dodoma lazima wakivunje chama ila nafuu yao ni lowassa awajibishwe ipasavyo na ripoti ya richmondi ni batiliimekaa vema, tuombe Mungu awatie nguvu wamaanishe wanachokisema.
kwahiyo RA ndio CCM, na CCM ndio RA ?
MIMI naamini LOWASSA ANANGUVU KUBWA KULIKO RA.
DE N, unaweza usiwe utaratibu, ila minyukano inayoendelea inawakela, namtakia kila la heri katika harakati zake za kutujuza.......leta nyeti Kilewo.
CCM ifie mbele
Wana JF mbona mnadanganyika kirahisi hivyo? Huyo mtu kama yuko kwenye kikao hawezi kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe JF mpaka watoke. Hawaruhusiwi kuwa na simu humo.
Pia suala la tume ya Mwinyi inasemekana lilijadiliwa jana.
Kuna watu wako hapa kudanganya JF.