CCM pawaka moto Dodoma

Karume mbona hajavaa kijani wakuu
 
4 GB hiyo ni AUDIO au MOVIE jamani, kama jamaa anasema ana 4 GB Audio ni daught
 

Duh naona Sterling kafa....!
 
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
Hawa wasitutanie na kutufanya raia ni wapumbavu, kiwajibishwe chama namna gani, ina maana alipofanya ufirauni alikuwa akikitumikia chama au serikali?

Watoke hapa, makafiri watupu hawa, Mungu awadhibu mwenyewe kwa mkono wake
 
Kamati ya kumsuluhisha nani na nani? Wanasema mambo yetu ni ndani ya vikao
Sasa imekua ndani ya kamati.

Kwani hiyo kamati ilipendekeza nn? Ilipendekeza isuluhishe watu? Hao wanaosuluhishwa wamegombana nn?
 

Inawezekana JF imepata member wapya ambao wameamua kuingia kwenye mpambano huu dhidi ya mafisadi,however scepticism lazima iwepo kwasababu hii ni JF.Wana JF walio wengi wana uwezo wa kuelewa kuwa its not everything that glitters is gold,that brings about sceptical ideas,kwamba vile vile tunaweza kuwa wrong,kwamba si kweli kuwa members hao wameingia kwenye mpambano wa ukombozi wa Taifa.

Having said that,there's a very thin line btn having a constructive discussion or just a bunch of shenanigans from mis informed or missinforming individuals.....All those are possiblities,no wonder Robot anataka ndugu yetu huyo afanye alicho ahidi,yani kutuwekea mambo hapa,JF ipo juu primarily kutokana na uhakika wa nyeti zinazotundikwa hapa,mkataba wa Kiwira uko hapa nk.

Kuhusu kuji "Expose" Bila kulipwa chochote,once again i will give em a benefit of doubt kwasababu kusema ukweli si wote wenye kuingia kwenye siasa wanapenda ama walitaka kuingia kwenye siasa...Kwa kadri mambo yalivyo,usishangae watu wengi sana tu kujiingiza kwenye siasa ama hata kujitolea kwa namna moja ama nyingine.

Binafsi nilikuwa sina mpango na mambo ya siasa,eventually mambo yaliyokuwa yakitokea plus yanayoendelea kutokea yalinifikisha hapa JF kama ilivyo kwa wengi wetu humu,Yani kila tukifuatilia habari za maendeleo ya Taifa letu,tunakumbana na utumbo mwingi sana unafanyika na inakuwa vigumu kuignore given the fact kwamba kuna connection kati ya how the politics are ran na well being ya Taifa letu.
 
Mimi bado nawapa benefts of doubt, mwana JF mwenzetu wa 16, hebu angalia sisi wote hapa chini tunavyokusubiria! hebu pandisha angalau 1min tuu, itatusha kuendelea kukutumainia, vinginevyo tusubiri kudanganywa na Chiligati.
 
hata kwa kuongezewa muda -hakuna lolote,lakini CCM kuna ufa tena mkubwa,mwenyekiti ajaribu kuziba nyufa hizo,jmba lisije dondoka mikononi mwake-tutamkaumu,sana kwani CCM tunaipenda sana,lakini sasa tunafikia ukingoni.

Kama leo imeshindikana sidhani kama kamati itakuja na jipya mgawanyiko utazidi kuota mizizi IS THE BEGINNING OF THE END OF CCM
 
Tuache kuyeyushana hapa jamani CCM still going strong as usual hizo mbwembwe za kina Kileo na wa 16 ni hekaya za Abunuwas.Nimepokea data za uhakika kutoka ndani ya jengo,Ni kweli hali haikuwa shwari lakini sasa ukumbi umetawalika na una mweelekeo wa kufikia mwishoHakuna wa kuwajibika hakuna wa kuhama Chama,Ngoma nzito na kubwa iko kule Zanzibar kwamba kutatawalikaje ndani ya serikali ya mseto,Ndio mjadala unaendelea punde sasa
 

Heading inasema CCM pawaka moto,na wewe unasema "Ni kweli hali haikuwa shwari" Sasa tofauti iko wapi,wanachosema hao si ndicho unachodai kuwa ni "data ulizopata za uhakika?"ama unajiyeyusha mwenyewe?
Teh teh teh....!Unanikumbushia Kingunge nasikia alikuwa na usemi wake maarufu kuwa "Ninakanusha kwamba sikukanusha"
Pengine na wewe ukiulizwa utakana kwamba ulikanusha maelezo ya kina Kilewo na wa 16,kwamba habari hizo si kweli, na huku ukiwa haufahamu kuwa umeshakunusha maneno ambayo yanafanana na unachokanusha kuwa si kweli ama "Miyeyusho" kwamba hukukanusha ukweli kwamba hakuna "Anayekuyeyusha" bali unajiyeyusha wewe mwenyewe,either kwa kufahamu ama kwa kutokufahamu...Hata hivyo wengi wetu tuna uwezo wa "Kufahamu" Kazi kwako!
 
Tumpe/tuwape dakika 15 kuanzia sasa. Asipo/wasipo tekeleza uploading, tu-klik ''Remove your thanks'' kwa kuanzia tu.
Hawawezi wakatufanya sisi ni watoto bana!
Na tuna akili timamu
 
hahahaha nicheke karibia na uchaguzi mengi yatatokea ,mradi tu tunadanganyika na kula zetu tunawapa ,paukwa pakawa..
 
Tumpe/tuwape dakika 15 kuanzia sasa. Asipo/wasipo tekeleza uploading, tu-klik ''Remove your thanks'' kwa kuanzia tu.
Hawawezi wakatufanya sisi ni watoto bana!
Na tuna akili timamu
.
Tripo9, huna haja ya kuwapa ultimatum as if JF ndio imewatuma, wanatumia highly sophisticated recording tools, kwa vile bado kikao kinaendelea, na wao wako hapo kutekeleza yaliyowapeleka, wapeni muda ili waweze kupandisha hizo audio clips.
Give them time and the benefits of doubt, kwa maoni yangu, hata wakishindwa ku upload lakini audio wanayo, its just ok, maana wanawajibika kwanza kwa aliyewatuma hizo audio, ninachoamini for sure, sio UWT, labda ni inteligensia wa CCJ.
Wa 16, just take your time, tuko na wewe tuu na hakuna kulala.
 
Hawa majambazi hawana lolote wanawanga tu huko idodomia na kutafuna fweza za walipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…