Wakituletea sawa , mimi nilianza kuwa na wasi wasi mapema tu walipoulizwa wanawezaje kuripoti toka ndani ya kikao wakasema eti hawakukaguliwa hadi kwenye soli za viatu na kalamu zao pia nikajiuliza hawa majasusi wameenda na vifaa hivyo kwa ajili ya kuhabarisha JF tu au? wanawezaje kuji expose namna hii kwa dangerous job bila kulipwa chochote, tukawauliza wawe wanatutajia majina hawakujibu, kama wao ni CIA wengine humu ni Ex FBI
Inawezekana JF imepata member wapya ambao wameamua kuingia kwenye mpambano huu dhidi ya mafisadi,however scepticism lazima iwepo kwasababu hii ni JF.Wana JF walio wengi wana uwezo wa kuelewa kuwa its not everything that glitters is gold,that brings about sceptical ideas,kwamba vile vile tunaweza kuwa wrong,kwamba si kweli kuwa members hao wameingia kwenye mpambano wa ukombozi wa Taifa.
Having said that,there's a very thin line btn having a constructive discussion or just a bunch of shenanigans from mis informed or missinforming individuals.....All those are possiblities,no wonder Robot anataka ndugu yetu huyo afanye alicho ahidi,yani kutuwekea mambo hapa,JF ipo juu primarily kutokana na uhakika wa nyeti zinazotundikwa hapa,mkataba wa Kiwira uko hapa nk.
Kuhusu kuji "Expose" Bila kulipwa chochote,once again i will give em a benefit of doubt kwasababu kusema ukweli si wote wenye kuingia kwenye siasa wanapenda ama walitaka kuingia kwenye siasa...Kwa kadri mambo yalivyo,usishangae watu wengi sana tu kujiingiza kwenye siasa ama hata kujitolea kwa namna moja ama nyingine.
Binafsi nilikuwa sina mpango na mambo ya siasa,eventually mambo yaliyokuwa yakitokea plus yanayoendelea kutokea yalinifikisha hapa JF kama ilivyo kwa wengi wetu humu,Yani kila tukifuatilia habari za maendeleo ya Taifa letu,tunakumbana na utumbo mwingi sana unafanyika na inakuwa vigumu kuignore given the fact kwamba kuna connection kati ya how the politics are ran na well being ya Taifa letu.