CCM pawaka moto Dodoma

CCM pawaka moto Dodoma

Mkuu Pasco,
Sio kweli kuwa UWT wameweka jicho JF 24/7 nakupa habari yenye uhakika 99% Kuna haja ya kutafuta mbinu nyingine ya kuwafanya washughulike. Hizi tunazopiga hapa ni kelele za Mlango................!

Watanzania tuna tatizo .
japo wengi wanajaribu kurusha mpira kwa watu wa kijijini ,eti waelimishwe kweli mie mtoto wa kijijini nafadhaishwa sana na kauli za namna hii.

Nakubali ,kweli na hakika ni tabia ya binadamu asiye mwelevu(yani mpumbafu) akifikiri yeye ni mwelevu. Binadmu huyu ana tabia ya kuhamisha tatizo ya kwamba lazima tatizo hili nililonalo limesababishwa na fulani na wala si yeye.

fuatilia tu, binadamu mpumbafu hata kama akiwa amebeba bilauli yake ya maji na bahati mbaya akaidondosha na kupasuka ,binadamu mpumbafu lazima atatafuta wa kumtushwa tatizo hilo.mfano mbona umeweka kiti hapa, ama kitambaa hiki ndo kimesababisha .

binadamu mpumafu siko zote hatafuti chanzo cha tatizo, na mara zote atatafuta jibu jepesi kabisa nalo ni kumtwika hilo zigo mtu fulani.

Jamani nawaombeni kwa niaba ya wanakijiji wenzagu ,mtupe kalikizoeti ya kwamba mnataka kutuelimisha,eti ya kwamba sisi ndo chanzo cha matatizo,eti ya kwamba sisi ndo tunaiweka ccm madarakani.

One moment
Lakini nikijaribu kufunua na kuperuzi kumbukukumbu na wanakijiji wenzagu naona kumbukukumbu zinaleta takwimu ya kwamba sisi wavijijini, tusio na elimu tuna historia nzuri ya kupeleka wabunge wa upinzani bungeni ,tofauti na wasomi na watu wa mjini .

Ehe
Sisi wanakijiji tunachojiuliza je tatizo la tanzania ni sisi wanakijiji,tusio na elimu? ama tatizo ni wamjini na wasomi ?
kwanini sisi wa vijijini tunabebeshwa mizigo? je ni kwa sababu hatuna media kama jamiiforums.com ama ITV?

Je tatizo lina mizizi yake i mingine tofauti ila kwa sababu ya upumbafu wa watanzania wote hasa wasomi na wamjini wanajaribu kutafuta jawabu rahisi kuhalalisha upumbafu wao.?
 
am a new member but am not a politician but since am a Tanzania'n citizen i have to say something.

Kuna siri kubwa ambazo hatuzijui, nchi ikiendeshwa kwa siasa asilimia kubwa ni uongo ndio utakaotawala maana ni personal interests zinatawala. Tusishangilie tukiona vitu vinaenda hivyo na pia hatuwezi kukaa kimya ila tusiwe tunaongea maneno ambayo hatuna uhakika nayo.

Hao wanaotaka Lowassa awajibishwe kwani alikuwa peke yake? alikuwa WM na amewajibika kwa kujiudhulu. sasa awajibike nini tena? kuna wabovu zaidi yake maana siasa ukiambiwa mchezo mchafu ni mchafu kweli wanaojua ni wale walioko kwenye siasa. we can't go back and start a fresh but wa can start now and make new beginning. Nafikiri kwa kosa hilo wote waliohusika wamejifunza.

Tatizo letu watanzania tunakosea kuchagua viongozi kwa sababu ya kudanganyishiwa peremende, we have to change, chagua mtu potential ambae unajua atasaidia wananchi na nchi yetu kwa ujumla na hii inahitaji elimu na sio kufuata upepo.
 
20751_303384212970_658587970_3501356_7035608_n.jpg

FMEs!
OMG! Kazi bado tunayo, huu umati bado una fikra za zama za mawe....unategemea nini hapo? No wonder JK anajitapa na 70%....!! $#!+ 🙁🙁:?::?::-x:-x.....So sad!
 
am a new member but am not a politician but since am a Tanzania'n citizen i have to say something.

Kuna siri kubwa ambazo hatuzijui, nchi ikiendeshwa kwa siasa asilimia kubwa ni uongo ndio utakaotawala maana ni personal interests zinatawala. Tusishangilie tukiona vitu vinaenda hivyo na pia hatuwezi kukaa kimya ila tusiwe tunaongea maneno ambayo hatuna uhakika nayo.

Hao wanaotaka Lowassa awajibishwe kwani alikuwa peke yake? alikuwa WM na amewajibika kwa kujiudhulu. sasa awajibike nini tena? kuna wabovu zaidi yake maana siasa ukiambiwa mchezo mchafu ni mchafu kweli wanaojua ni wale walioko kwenye siasa. we can't go back and start a fresh but wa can start now and make new beginning. Nafikiri kwa kosa hilo wote waliohusika wamejifunza.

Tatizo letu watanzania tunakosea kuchagua viongozi kwa sababu ya kudanganyishiwa peremende, we have to change, chagua mtu potential ambae unajua atasaidia wananchi na nchi yetu kwa ujumla na hii inahitaji elimu na sio kufuata upepo.
Karibu sana JF dada Debora! Kwema huko utokako?
 
Hii siku kwa kweli imekuwa siku yenye mambo na kila aina ya vijambo; kwa ufupi ni kuwa uwezekano waw Mwakyembe kukaa meza moja na Lowassa kunywa chai haupo! Kama vile waraka uliokataliwa hapa ulivyosema kua hakuna mapatano kwa uhakika ni hivyo.
 
Wategemezi wetu wote wawili, kilewo na 16 wamesha sign off, hata hivyo nimeongea na mdau mmoja yuko pale nje ya ukumbi, amenijulisha game bado ni bila bila!.
Mkuu pekundu hapo nakuaminia, mpigie tena muulize wamefikia wapi mpaka sasa?
 
am a new member but am not a politician but since am a Tanzania'n citizen i have to say something.

Kuna siri kubwa ambazo hatuzijui, nchi ikiendeshwa kwa siasa asilimia kubwa ni uongo ndio utakaotawala maana ni personal interests zinatawala. Tusishangilie tukiona vitu vinaenda hivyo na pia hatuwezi kukaa kimya ila tusiwe tunaongea maneno ambayo hatuna uhakika nayo.

Hao wanaotaka Lowassa awajibishwe kwani alikuwa peke yake? alikuwa WM na amewajibika kwa kujiudhulu. sasa awajibike nini tena? kuna wabovu zaidi yake maana siasa ukiambiwa mchezo mchafu ni mchafu kweli wanaojua ni wale walioko kwenye siasa. we can't go back and start a fresh but wa can start now and make new beginning. Nafikiri kwa kosa hilo wote waliohusika wamejifunza.

Tatizo letu watanzania tunakosea kuchagua viongozi kwa sababu ya kudanganyishiwa peremende, we have to change, chagua mtu potential ambae unajua atasaidia wananchi na nchi yetu kwa ujumla na hii inahitaji elimu na sio kufuata upepo.
.
Karibu sana Dada Debora, kwa kweli umeanza vizuri, kama hii ndio post yako ya kwanza, na umeshuka na nondo hizi, I can the potential in you, and together we can!.

Nimeipenda sana line hii, "we can't go back and start a fresh but wa can start now and make new beginning, we have to change".

Asante!
 
am a new member but am not a politician but since am a Tanzania'n citizen i have to say something.

Kuna siri kubwa ambazo hatuzijui, nchi ikiendeshwa kwa siasa asilimia kubwa ni uongo ndio utakaotawala maana ni personal interests zinatawala. Tusishangilie tukiona vitu vinaenda hivyo na pia hatuwezi kukaa kimya ila tusiwe tunaongea maneno ambayo hatuna uhakika nayo.

Hao wanaotaka Lowassa awajibishwe kwani alikuwa peke yake? alikuwa WM na amewajibika kwa kujiudhulu. sasa awajibike nini tena? kuna wabovu zaidi yake maana siasa ukiambiwa mchezo mchafu ni mchafu kweli wanaojua ni wale walioko kwenye siasa. we can't go back and start a fresh but wa can start now and make new beginning. Nafikiri kwa kosa hilo wote waliohusika wamejifunza.

Tatizo letu watanzania tunakosea kuchagua viongozi kwa sababu ya kudanganyishiwa peremende, we have to change, chagua mtu potential ambae unajua atasaidia wananchi na nchi yetu kwa ujumla na hii inahitaji elimu na sio kufuata upepo.

we are going back simply because we can not face an enemy who is right in front of us!
 
Wategemezi wetu wote wawili, kilewo na 16 wamesha sign off, hata hivyo nimeongea na mdau mmoja yuko pale nje ya ukumbi, amenijulisha game bado ni bila bila!.

Hii game ni lazima mafisadi akina RA na kundi lao washinde, maana wanajua fika kwamba wamemshika pabaya Kikwete na hawezi kufurukuta kabisa mbele yao.
 
Genge la wahuni hawa yaani tangu jumamosi wanaongea upuuzi tu.
 
Mkuu Pasco,
Sio kweli kuwa UWT wameweka jicho JF 24/7 nakupa habari yenye uhakika 99% Kuna haja ya kutafuta mbinu nyingine ya kuwafanya washughulike. Hizi tunazopiga hapa ni kelele za Mlango................!
.
Alibaba, asante kutujulisha, kumbe sasa angalau mnalala?. Basi nitamweleza Invi na wanabodi wengine na sisi to relax.

Asante pia kujitambulisha kwa kutupatia hakikisho la habari yenye uhakika asilimia 99% ili kutuonyesha wewe ndio namba 2 chini ya Othman, maana kama hata huyo namba 3 hawezi kuwa na uhakika na namba 2.

Tumekusikia kumbe hizi ni kelele tuu za mlango... ngoja nasi tujilalie, kumbe wenyewe wamelala na hawakosi usingizi!.

Angalizo kwako Alibaba, usijekuta kumbe wewe ndio mfungua geti hapo nje, hivyo wala hujui mle ndani kinaendelea nini, ukishaona tuu wamezima taa na kufunga ofisi, basi umejiridhisha wemeshafunga kazi, hivyo wamekwenda kulala, na wewe unajifungia zako geti ukiwasubiri asubuhi waje kazini, asubuhi ikifika unawafungulia geti ukiamini ndio wametoka kuamka na ndio wanaingia kazini!, na wewe ndio unatoka shifti na kwenda kujilalia!.

Asante kwa taarifa hizi!.
 
Latest ya mwisho toka Dodoma, kikao lomemalizika.
1. Kamati ya Mwinyi yaongezewa mwezi mmoja na kubadilishiwa hadidu za rejea.
2. Amina Mwakilagi na Mwanahamisi toka Zanzibar, wajumbe wapya wa NEC kuziba mapengo.
3. Wametoa ratiba zao za uteuzi ndani ya chama.

Laleni salama!
 
Poa mkuu, sisi wengine huku saa nne asubuhi Tues, kwa hiyo tunastahili kuambiwa kazi njema!!!!!!!! Lolllll!!!!!
 
Latest ya mwisho toka Dodoma, kikao lomemalizika.
1. Kamati ya Mwinyi yaongezewa mwezi mmoja na kubadilishiwa hadidu za rejea.
2. Amina Mwakilagi na Mwanahamisi toka Zanzibar, wajumbe wapya wa NEC kuziba mapengo.
3. Wametoa ratiba zao za uteuzi ndani ya chama.

Laleni salama!

Mods pls delete the duplicate!
 
Latest ya mwisho toka Dodoma, kikao lomemalizika.
1. Kamati ya Mwinyi yaongezewa mwezi mmoja na kubadilishiwa hadidu za rejea.
2. Amina Mwakilagi na Mwanahamisi toka Zanzibar, wajumbe wapya wa NEC kuziba mapengo.
3. Wametoa ratiba zao za uteuzi ndani ya chama.

Laleni salama!

Nadhani hizi zitakuwa zimebadilishwa ili kuwakinga akina RA na kundi lake lote. USANII MTUPU!
 
20751_303384212970_658587970_3501356_7035608_n.jpg

- Wakuu heshima mbele sana, sasa ni usiku sana wakulu wote wameenda kulala, shughuli zimekua nyingi sana lakini by kesho tutatafuta exactly kilichojiri huko ndani, ingawa nimeona kuna waliojaribu kuleta dataz za kikao, waletaji wa hizo dataz hawakuwa na sababu ya kusema wanazo kanda za kikao, that was a liitle over the board lete dataz tu JF we are very good at reading betweeen the lines, na at the end of the day jamani hawa ndio wananchi tunaowalilia kuwakomboa huu ni mkutano wa CCM jana tu!

- I mean think about it huu mkutano ni jana tu, sio mwaka juzi wakati Muungwana anaingia urais, ni jana tu baada ya bunge kumsafisha Lowassa, jamani tuna kazi kubwa ana ndefu sana mbele yetu, tusikate tamaa!

Respect.

FMEs!
FMEs,

Nimekukubali. Lakini hawa wengi wao wanaongozwa na njaa na sio utashi wala ufahamu wa wanachofanya. Safari ni ndefu sana ni kama kuanza safari ya kwenda Mwanza kwa kutumia baiskeli ya Swala. Ila nina amini kuna siku tutafika ingawa sijui siku kamili. Inauma mno lakini ndio nchi yetu na wa kuikomboa ni sisi wenyewe.
 
we are going back simply because we can not face an enemy who is right in front of us!

Zamani wakati wa vita ulikuwa ukirudi nyuma (retreat) basi unapigwa risasi.

Hii ilikuja kuachwa siku Mrusi mmoja aliamuru Askari warudi nyuma na alipoulizwa kwenye mahakama ya kijeshi akawajibu "sikuwa narudi nyuma ila nilikuwa nikipigana aina ya vita iitwayo .......(nimesahau)......"

Ila siku hizi inafundishwa sana kuanzia kwenye Mpira hadi vitani kwenyewe. Ukiona mbele hakuendeki, basi unapiga tu kelele "Cover me" na unarudi nyuma na hapo unapiga goti na kuanza kumsaidia mwenzio. Kidogo kidogo mnarudi nyuma na kujiunda upya tayari kwa mashambulizi mengine...... (kikao cha saa moja cha Wapiganaji jana hapo Dodoma).

Hivyo Mkuu, hii inaruhusiwa sana na kuna shule yake nzito sana inafundishwa.
 
......strategic retreat
 
Ccm is unclean for lowasa he should stay out of politics for his long life
 
Back
Top Bottom