LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Subiri sanduku la matusi livunguliwe kutoka kwa BAVICHA. Mmewanyima kuandamana alafu bado mnaendelea Kuwakochakocha.
katika mambo ambayo ni rahisi sana duniani, ni pamoja na kuwakabili washirikina wenye mihemko na misukule wenye ghadhabu kwenye siasa za hoja kama hao ulowataja πŸ’
 
Kwa io tume yenu ya magumashi huo uchaguzi shirikini wenyewe
nimesema vyema sana kwenye maelezo yangu ya msingi kwamba kuna vyama badala ya kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa,

vinaandaa visingizio na sababu za kujitetea baada ya kushindwa kwa fedhaha uchaguzi huo muhimu wa kihistoria kwenye Taifa letu,

nawe nadhani umo mule mule kule kwenye kutafuta Huruma 🀣
 
Wameshamaliza kuprint kura fake za kutosha
hukana mzaha, hakuna huruma wala hakuna kumuonea haya katika suala muhimu sana, la gharama na nyeti mno la maandalizi ya Uchaguzi kampeni za uchaguzi, kushinda uchaguzi na hatimae kuunda serikali na kuongoza dollar

mzaha na ushirikiana wenu fanyeni huko huko gentleman πŸ’
 
katika mambo ambayo ni rahisi sana duniani, ni pamoja na kuwakabili washirikina wenye mihemko na misukule wenye ghadhabu kwenye siasa za hoja kama hao ulowataja πŸ’
Ukimkimbiza mbaya wako kisha upepo ukakata, unazani kinachofuata ni nini? Hoja hawana tena, mama Abdul kawachakaza vbaya sana.
 
Tayari CCM imeshakamilisha kutengeneza kura fake kwa vituo vyote?
muhimu zaidi ni kuandaa wagombea makini wanaojulikana, wanaoaminika na kukubalika katika vya kutosha katika jamii, na kubeba na kueleza vyema sera na mipango mikakati ya Maendeleo kwa wanainchi kwa niaba ya Chama...

Na zaidi sana kuwaandaa na kuwahamasisha wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi bila kukosa, hasa siku ya uchaguzi katika vituo vya kupigia kura walikojiandikisha na kuwachagua viongozi wote madhubuti wa CCM watakao pitishwa na chama kugombea nafasi hizo πŸ’
 
Kwani uchaguzi upo? Si kuna kesi mahakamani?
 
Kwani uchaguzi upo? Si kuna kesi mahakamani?
ndiyo visingizio navyozungumzia kwamba kuna vyama vya siasa vinajifichia kwenye vichaka kama hivi kumbe wanapitia ukata mkali sana wa kiuchumi kusponsa hata wagombea uchaguzi wa serikali za mitaa hata wa kata 3 tu...

by the way,
unadhani hiyo kesi ni ya kupinga uchaguzi usifanyike au kupata ufafanuzi tu wa kisheria juu ya namna uchaguzi huo utakavyofanyika na ulivyokua ukifanyika miaka yote?

Infact,
haina nguvu ya kuzuia uchaguzi huo muhimu wa kihistoria but ni muhimu kusubiri uamuzi wa mahakama πŸ’

Kumbuka uchaguzi ni Nov 27 mwaka huu gentleman
 
Maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji utakao fanyika Nov.27.2024 yanaendelea vizuri na ratiba iko pale pale kwamba kampeni ni kuanzia tar 20-26 November..

Ni uchaguzi huru, wa wazi, na wa haki wa kihistoria Tanzania.

Halazimishwi mtu kushiriki uchaguzi huo muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo ya wanainchi huko katika maeneo wanamoishi..

Imani haba na potofu za kutengemea ushirikiana kwenye kwenye siasa na uchaguzi haijawahi kua msaada kwa yeyote..

hakuna muujiza ni lazima waTanzania wote kushiriki kikamilifu uchaguzi huu wa kihistoria na kushiriki kuamua mustakabali wa maendeleo ya maeneo yao πŸ’
 
Huo uchaguzi mshiriki pekee yenu mshinde viti vyote kama kawaida yenu! Sio lazima wapinzani washiriki
 
Huo uchaguzi mshiriki pekee yenu mshinde viti vyote kama kawaida yenu! Sio lazima wapinzani washiriki
watashiriki waTanzania wote wazalendo wa vyama vyote vya siasa nchini bila mbambamba yoyote gentleman
 
Wakati ccm wapo kwenye kampeni nzito ya nyumba kwa nyumba kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa upinzani upo bize na mahakama kila kukicha
 
CCM inavohangaika kubaki madarakani utadhani inafanya la maana. Kumbe inataka kuongeza Deni la nje kutoka trilioni 99 mpaka Trilioni 110.
 
We Makamba kaa kimya, wewe ni mmoja wa wazee wa hovyo kuwahi kutokea hamtaki uchaguzi huru na haki na uchaguzi kusimamiwa kinyume cha sheria na waziri wa serikali ya CCM.

Badala ya kutaka uhuru mnafurahia jinsi mlivyofanya sarakasi zenu mahakamani kuzuia uchaguzi huru ili kada wenu asimamie uchaguzi kinyume cha sheria.

Halafu unaleta mipasho jukwaani humu, katika wazee wa hovyo kuwahi kutokea nchini wewe na mwenzio Wassira wapotoshaji wa haki wakubwa, mlaaniwe na vizazi vyenu
 

Mitego ya hila kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania mwezi November ya anikwa.

02 October 2024
Ubungo, Dar es Salaam

Tundu Lissu - Mwongozo wa waziri wa TAMISEMI kuhusu uchaguzi wa November 2024 umejaa hila, mitego na kujaribu kuengua wagombea wasio wa chama dola kongwe CCM

View: https://m.youtube.com/watch?v=XcHGSsTsInE


View: https://m.youtube.com/watch?v=XcHGSsTsInE
 
02 October 2024
Mahenge, Morogoro

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ : MAKAMU MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO ATOA TAMKO MUDA HUU AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAHENGE

Kuna wajumbe zaidi ya 10,000 wa mitaa walipita bila kupingwa ... yaani hawakuchaguliwa na wananchi baada ya chama dola kongwe CCM kutumia hila...


View: https://m.youtube.com/watch?v=L_MyF8RN-h4
 
hakuna wa kushindana nao sasa gentleman 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…