Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chawa mwenye njaa kaziniitakuwa ni ajabu sana na jambo la Kushangaza kama itatokea mwana CCM kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Mohammedi mchengerwa. Wakati kila mmoja na kila mtanzania anatambua uchapakazi wake . Lakini pia ni Mheshimiwa Mchengerwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaoweza kugombea ubunge jimbo lolote lile hapa Nchini na Akapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Hivi ni muda gani wewe huwa kichwa chako kinashika mtandao?Tena mkwe mwenyewe ana kifua kipana
Aibu kwa hili taifa, Uchawa chefu chefu kama huu unapaswa kuondolewa kwa maslahi ya Tanzania.itakuwa ni ajabu sana na jambo la Kushangaza kama itatokea mwana CCM kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Mohammedi mchengerwa. Wakati kila mmoja na kila mtanzania anatambua uchapakazi wake . Lakini pia ni Mheshimiwa Mchengerwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaoweza kugombea ubunge jimbo lolote lile hapa Nchini na Akapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Siyo uchawa bali ndio ukweli wenyewe huo.Aibu kwa hili taifa, Uchawa chefu chefu kama huu unapaswa kuondolewa kwa maslahi ya Tanzania.
Kwa mtu anayeipenda Tanzania kwa moyo wote uchawa huu unachefua sana. Uchawa unaoufanya leo matokeo yake utakuja kuyaona baada ya miaka mingi ijayo, usiwe mjinga kupita kiasi.Siyo uchawa bali ndio ukweli wenyewe huo.
Madudu yanazidi kuwekwa hadharaniWakuu
Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM.
View attachment 3223700
Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul Chobo kukitaka Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya kuitisha Mkutano Mkuu wa wanachama na kuangalia vifungu vya katiba vinasemaje ili waweze kumpitisha Mbunge wa sasa wa Rufiji Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee na Rasmi kupitia CCM kwa Jimbo la Rufiji.
View attachment 3223702
Kombo ambaye pia ni moja wa Madiwani aliibuahoja hiyo leo katika Maadhimisho miaka 48 ya CCM yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Tanki mbili katika Wilaya ya Rufiji.
🤣Hivi ni muda gani wewe huwa kichwa chako kinashika mtandao?
Madudu yanazidi kuwekwa hadharani
Tulia unyooshweSasa CCM mnakoelekea, mnapotea njia!
Mimi ni mwanachama wa CCM,Niko Rufiji ninahitaji kugombea Ubunge ndani ya Jimbo Hilo kupitia CCM!
Mnachokisema sikielewi
Wakuu
Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM.
View attachment 3223700
Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul Chobo kukitaka Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya kuitisha Mkutano Mkuu wa wanachama na kuangalia vifungu vya katiba vinasemaje ili waweze kumpitisha Mbunge wa sasa wa Rufiji Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee na Rasmi kupitia CCM kwa Jimbo la Rufiji.
View attachment 3223702
Kombo ambaye pia ni moja wa Madiwani aliibuahoja hiyo leo katika Maadhimisho miaka 48 ya CCM yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Tanki mbili katika Wilaya ya Rufiji.
==
Maoni ya mdau
Jikaze bob usipojikaza utakazwaitakuwa ni ajabu sana na jambo la Kushangaza kama itatokea mwana CCM kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Mohammedi mchengerwa. Wakati kila mmoja na kila mtanzania anatambua uchapakazi wake . Lakini pia ni Mheshimiwa Mchengerwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaoweza kugombea ubunge jimbo lolote lile hapa Nchini na Akapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Wakati nikiwa nakupumulia kichogomi.Hivi ni muda gani wewe huwa kichwa chako kinashika mtandao?
We chawa kumbe upo...Vip umekula lakini au posho bado haijaingia?Wewe ni Mwana CCM? Kama siyo mwana CCM basi kaaa kwa kutulia na acha kuwashwa washwa.
Huo ni udiktekta kama anajiamini na huo uchapakazi wake aache wajumbe watampigia kura, hamjajifunza somo la demokrasia kutoka kwa mwamba na jabali la demokrasia Freeman A. Mbowe ?itakuwa ni ajabu sana na jambo la Kushangaza kama itatokea mwana CCM kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Mohammedi mchengerwa. Wakati kila mmoja na kila mtanzania anatambua uchapakazi wake . Lakini pia ni Mheshimiwa Mchengerwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaoweza kugombea ubunge jimbo lolote lile hapa Nchini na Akapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
CCM Somo la Demokrasia walipata SifuriHuo ni udiktekta kama anajiamini na huo uchapakazi wake aache wajumbe watampigia kura, hamjajifunza somo la demokrasia kutoka kwa mwamba na jabali la demokrasia Freeman A. Mbowe ?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wao wa kidhalimuSio chama hicho, ni genge la kihalifu lililovaa koti la chama cha siasa.