Sikushangai nafikiri wewe ni wale waliofika Rufiji miaka ya 2010😭 sikushangai ukisema hivyo. Sisi ndio tunaokaa Rufiji tunaona tofauti iliyopo kafika kipindi hiki ambacho mwamba ni MbungeHakuna mbunge anayeweza kufanya maendeleo kwenye jimbo lake badala yake serikali kupitia kiongozi wa serikali(Rais) ndiye anayeweza kuamua kufanya upendeleo kwa sababu moja au nyingine mfano labda ni nyumbani kwao kama alivyofanya Magufuli alipeleka kila mradi Chato sasa na kiongozi wa sasa anaweza kupeleka maendeleo kwa kasi huko Rufiji kwa kuwa tu ni jimbo la mkwe wake lakini Mchengerwa hana ubavu wa kupeleka maendeleo yoyote Rufiji.