Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa inawezekanaje CCM iwe na wagombea 2 Kwa Jimbo Moja?
 
CCM Rufiji wameamua kutoa fomu moja ya ubunge na fomu hiyo atachukua Mohamed Mchengerwa ambaye ni waziri katika serikali ya Rais Samia.

Ikitokea mwana ccm amechukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo hatopitishwa. Azimio lao kumpitishaa Mohamed Mchengerwa

Source: Crown Media
 
Rufiji sio tamaa ya madaraka Ila kazi ya mbunge wetu huyo tumeikubali mno. Pata muda tembelea Rufiji ujionee mabadiliko makubwa yaliyafanyika
 
Na ni miongoni mwa maeneo yaliyo nyuma kimaendeleo kutokana na kuwa na wajinga wengi.
 
Wewe ni Mwana CCM? Kama siyo mwana CCM basi kaaa kwa kutulia na acha kuwashwa washwa.
sasa wewe lucas na wewe unajiita mwanaccm,wewe ni uchafu wa makalio ya ccm wenye ccm yao ndiyo hao wanapitishwa bila kupingwa we subili kofia na chupi za ccm
 
Alianza mama Yao pale Dom naona watoto nao wanapitamo mulemule.

Kidumu chama cha majambazi.
 
Rufiji sio tamaa ya madaraka Ila kazi ya mbunge wetu huyo tumeikubali mno. Pata muda tembelea Rufiji ujionee mabadiliko makubwa yaliyafanyika
Mbunge amefanya nini? Sema upendeleo anaopata kutoka kwa mkwe wake lakini siyo mbunge,mbunge kazi yake ni kupiga kelele tu bungeni lakini mleta maendeleo ni serikali,sasa huko ni kazi ya Mama mkwe lakini pamoja na hayo siyo sababu ya kupindisha taratibu za chama kama kweli mnaona kaleta maendeleo si mtaendelea kumchagua sasa wasiwasi wa nini?
 
uchawa na upuuzi. Je zaidi ya kuwa mkwe wa rais, ana sifa gani chawa huyu?
 
Wabunge wangapi wana kuwa na upendeleo kama unavyouita wamefanya nini ktk majimbo Yao?
 
Wewe ni Mwana CCM? Kama siyo mwana CCM basi kaaa kwa kutulia na acha kuwashwa washwa.
Mwambie huyo! Hatudanganyiki tumesema Mchengerwa mitano tena. Natamani kutoa mifano michache lakini sijui kama ninaemueleza atakuwa na kumbukumbu mzuri. Kifupi na kwa uchache tu afuatilie Historia ya mzee Cleopa Msuya nini alikuwa anafanya ktk jimbo lake na kwa nini alikuwa anapitishwa na wapiga kura wake. Akiijua Historia hiyo ndio tunamwambia na Sisi hutuambii kitu kuhusu mbunge wetu kwa hili ambao sio Wa Rufiji tunaomba mtupishe kwanza tukamilishe jambo letu na mbunge wetu
 
Wabunge wangapi wana kuwa na upendeleo kama unavyouita wamefanya nini ktk majimbo Yao?
Hakuna mbunge anayeweza kufanya maendeleo kwenye jimbo lake badala yake serikali kupitia kiongozi wa serikali(Rais) ndiye anayeweza kuamua kufanya upendeleo kwa sababu moja au nyingine mfano labda ni nyumbani kwao kama alivyofanya Magufuli alipeleka kila mradi Chato sasa na kiongozi wa sasa anaweza kupeleka maendeleo kwa kasi huko Rufiji kwa kuwa tu ni jimbo la mkwe wake lakini Mchengerwa hana ubavu wa kupeleka maendeleo yoyote Rufiji.
 
Waislamu ni wapumbavu kuwapa uongozi wa nchi ...kwa sababu wana sifa moja mbaya sana ya kufuata mikumbo miovu na kuunga mkono mambo maovu yanayo fanywa na watu wa dini yao ...nilisha sema hapa ndani ya ccm kuna genge hatari la raia feki na genge hatari linalo tumia dini ya kiislamu kufanikisha uovu wao kwa watanzania......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…