Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sikushangai nafikiri wewe ni wale waliofika Rufiji miaka ya 2010😭 sikushangai ukisema hivyo. Sisi ndio tunaokaa Rufiji tunaona tofauti iliyopo kafika kipindi hiki ambacho mwamba ni Mbunge
 
Hayo unayoyasema yanaingiaje ktk ubunge wa Mchengerwa? Rufiji kuna dini zote wapi ambapo Mchengerwa kaonyesha udini kama unavyodai? Umekosa cha kusema ulichoona ni kuilashfu dini ya Kiislaam na hii ni tabia ya waking kama ninyi mkikosa cha kusema. Uislaam hapa unaingiaje?
 
Tumia akili mchengerwa ni myislamu anatumia upuuzi ule ule anao tumia samia bushiri kuzuia democracy ndani ya chama chao watu kama huyo h
Uwa wanaunda hadi vikundi vya mauaji hili tu wao wasipate washindani kwenye chaguzi
 
Kuna muda mnatumiaga nini kuwaza?
 
Ni likely mchengerwa hatakuwa na mpinzani kwenye kura za maoni ndani ya ccm, sababu zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…