Pre GE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

Pre GE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma.

Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa wanasifia kila kitu wakati wazazi wao wanakufa na kikokotoo.

xxxxx.jpeg
 
Wakuu samahani kwa kuingiza maada isiyoendana na title,ila ni hv mm huwaga nakua nahoja en sometimes nakua na mambo yananisumbua kichww nikitaka kupoat threads inagoma wananambie post sijui inakaguliwa an haipostiki msaada wakuu
 
View attachment 2986321

Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ambaye hajafahamika amezaa na nani ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma .
Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita.
Hawa wanasifia kila kitu wakati wazazi wao wanakufa na kikokotoo.
Taifa letu kama lipo kaburini
 
Wanachuo ni watu wazima so vibaya wakimunga mkono mama

Chuo ni elimu ya watu wazima,chadema mnashindwa kutambua hili
 
Sasa mwanaume mzima msomi mbele ya vibinti unanyanyua kidole juu na kuanza kuleta ushabiki wa siasa.

Nina mashaka sana na vijana wa namna hii watetezi wa CCM na viongozi hawa kama wanaweza kwenda kulitetea Taifa lao dhidi ya maadui na hata kupigania maslahi ya Taifa kwa faida ya wengi.
 
View attachment 2986321

Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ambaye hajafahamika amezaa na nani ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma .
Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita.
Hawa wanasifia kila kitu wakati wazazi wao wanakufa na kikokotoo.
Duh..
Inasikitisha sana.
Hao CHAWA chipukizi wameenda kumpongeza huyo Jokate kwa lipi?
Uvccm inaelekea kuwa taasisi ya hovyo zaidi duniani
 
Ccm baada ya kuishiwa ushawishi hasa vyuoni ndio wakapiga marufuku siasa vyuoni. Wanajua madhara ya wasomi kuwa against wao. Wasichokijua ccm kizazi hiki sio chao, hata wafanye Nini madarakani lazima watoke.

Hao ccm ni sawa na mtu anayeelekeq uzeeni kisha akawa hakubaliani nao, mara utasikia hataki shikamoo, anajipaka peacock Ili kuficha mvi, mara avae vimini, lakini mwili unakataa tu. Unapiga marufuku wenzio kufanya siasa unafanya mwenyewe ukitegemea kupata mvuto, lakini mvuto hupati Hadi unaishia kupora uchaguzi. Hizo zote ni dalili kuwa hutakiwi.
 
Inasemekana, na. ndio kioo cha jamii!
Na kuna wapuuzi watasema "Kwan tatizo ni nini" wasielewe impact ya kumuweka mtu wa aina hiyo kwenye nafasi ya uongozi anawafundisha nini mabinti.

Huyo tayari ni Single mother na anawafundisha mabinti wadogo kuwa unaweza zaa kama bata na still ukaheshimiwa na jamii na kupewa teuzi.

Sijui kama tunaheshima juu ya ile alama ya bibi na bwana na sijui kama tunaelewa maana na maudhui yake au tunahisi ni vinyago tu vya urembo.

Kuna siku hii tabia ya kuachia watu wa hovyo kwenye sehemu nyeti na kazi zinazotaka maadili kabla ya chochote itatugharimu pakubwa sana.
 
Ndugu una ongea kama phd ya sheria.
Unajua saikolojia.
Singo maza kuwekwa kwenye position kama hiyo, unafundisha nin watoto na wasichana?
 
Katibu wa UVCCM siyo lazima awe kijana [emoji209]
CCM inawahadaa vijana

Sasa rasmi umri wa vijana wa CCM ni hadi miaka 40.

Wakati Nyerere anakuwa kiongozi wa kitaifa alikuwa na miaka 39. Leo hii miaka 40 bado ni chawa anabebeshwa mikoba ya kina Wasira waliogoma kustaafu siasa.
 
Back
Top Bottom