Ccm baada ya kuishiwa ushawishi hasa vyuoni ndio wakapiga marufuku siasa vyuoni. Wanajua madhara ya wasomi kuwa against wao. Wasichokijua ccm kizazi hiki sio chai, hata wafanye Nini madarakani lazima watoke.
Hao ccm ni sawa na mtu anayeelekeq uzeeni kisha akawa hakubaliani nao, mara utasikia hataki shikamoo, anajipaka peacock Ili kuficha mvi, mara avae vimini, lakini mwili unakataa tu. Unapiga marufuku wenzio kufanya siasa unafanya mwenyewe ukitegemea kupata mvuto, lakini mvuti hupati Hadi unaishia kupora uchaguzi. Hizo zote ni dalili kuwa hutakiwi.