Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Taifa letu kama lipo kaburiniView attachment 2986321
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ambaye hajafahamika amezaa na nani ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma .
Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita.
Hawa wanasifia kila kitu wakati wazazi wao wanakufa na kikokotoo.
Inasemekana, na. ndio kioo cha jamii!Haa Amezaa Na Nani?
Duh..View attachment 2986321
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ambaye hajafahamika amezaa na nani ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma .
Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita.
Hawa wanasifia kila kitu wakati wazazi wao wanakufa na kikokotoo.
Nafikiri kwa kupata mtoto.Duh..
Inasikitisha sana.
Hao CHAWA chipukizi wameenda kumpongeza huyo Jokate kwa lipi. Uvccm inaelekea kuwa taasisi ya hovyo sana duniani
Na kuna wapuuzi watasema "Kwan tatizo ni nini" wasielewe impact ya kumuweka mtu wa aina hiyo kwenye nafasi ya uongozi anawafundisha nini mabinti.Inasemekana, na. ndio kioo cha jamii!
Ndugu una ongea kama phd ya sheria.Na kuna wapuuzi watasema "Kwan tatizo ni nini" wasielewe impact ya kumuweka mtu wa aina hiyo kwenye nafasi ya uongozi anawafundisha nini mabinti.
Huyo tayari ni Single mother na anawafundisha mabinti wadogo kuwa unaweza zaa kama bata na still ukaheshimiwa na jamii na kupewa teuzi.
Sijui kama tunaheshima juu ya ile alama ya bibi na bwana na sijui kama tunaelewa maana na maudhui yake au tunahisi ni vinyago tu vya urembo.
Kuna siku hii tabia ya kuachia watu wa hovyo kwenye sehemu nyeti na kazi zinazotaka maadili kabla ya chochote itatugharimu pakubwa sana.
CCM inawahadaa vijanaKatibu wa UVCCM siyo lazima awe kijana [emoji209]