Pre GE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

 
watoto wa masikini hawa waganga njaa wataangukia pua mapema kwenye mikono ya bokoharamu uvccm, nawahuruma watakavyo chakazwa kwa kuahidiwa vyeo kisha kutelekezwa
 
Haya mapumbavu huko chuo yanasomea ujinga?
Ya kupiga risasi.
 
W
Wivuuu tuuu unakusumbua.
 
Umetoka kwenye maandamano
 
Tatizo CHADEMA mna chuki sana kwenye roho zenu. Single mother ni zao la mahusiano ambayo yalishindwa kuendelea na kufikia ndoa. Hakuna baya katika hilo na haiathiri chochote kwenye mambo mengine ya maisha. Kuna watu wengi wanaoheshimika duniani wamelelewa na single mothers. Kama inakuuma sana jitahidi na wewe uwe single mother. Halafu mbona CHADEMA mna CHASO vyuoni na hakuna mtu anayesema kitu? Kwanini nyie iwaume vijana wa CCM vyuoni kufanya mambo yao?
 
Ndugu una ongea kama phd ya sheria.
Unajua saikolojia.
Singo maza kuwekwa kwenye position kama hiyo, unafundisha nin watoto na wasichana?
Inafundisha wewe uache upumbavu wa kuwachukia watu bila sababu. Kama inakuuma na wewe tafuta mwanaume akujaze mimba uwe single mother.
 
Inafundisha wewe uache upumbavu wa kuwachukia watu bila sababu. Kama inakuuma na wewe tafuta mwanaume akujaze mimba uwe single mother.
Nina mume wangu mmojA.
Kiongozi ni kioo kwa jamii, mwanamke hawezi pata mimba bila mume halali wa ndoa, na siyo mtoto wa kiongozi kuzaliwa kwenye ZINAA.
 
UNAUMIA UKIWA WAPI MKUU? POLE SANA WACHA WATU WASHANGILIE KWA FURAHA WEWE UMIA NA CHUKI ZAKO
 
UNAUMIA UKIWA WAPI MKUU? POLE SANA WACHA WATU WASHANGILIE KWA FURAHA WEWE UMIA NA CHUKI ZAKO
Unatmia herufi kubwa zote kwenye kuandika, huna tofauti na wanaoweka vibendera kwenye dp zao, ni MACHAWA wanao uza utu na nchi yao.
 
Kama ushajibiwa nitag lilipo jibu
Kennedy Kupandikiza mimba, ama kwa kimombo In Vitro Fertilization (IVF) ni mchakato wa kuunganisha yai la mwanamke na mbegu za mwanaume nje ya mwili wa binadamu katika maabara na kisha kurudishwa kwenye mwili wa mwanamke ili mimba ikue.
 
Anatafuta single maza wenzake
 
Kama ushajibiwa nitag lilipo jibu
IVFKupandikiza mimba, ama kwa kimombo In Vitro Fertilization (IVF) ni mchakato wa kuunganisha yai la mwanamke na mbegu za mwanaume nje ya mwili wa binadamu katika maabara na kisha kurudishwa kwenye mwili wa mwanamke ili mimba ikue.
 
Naona sasa siasa wamezirudisha maana juzi pia uvccm chuo cha kairuki walikua na mkutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…