PostGE2025 CCM sasa ni mufilisi kisiasa, haijalaani mauaji

PostGE2025 CCM sasa ni mufilisi kisiasa, haijalaani mauaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
CCM kwa sasa ni sehemu ya serikali kandamizi.

CCM hainaushawishi kwa sasa na haiwakilishi wananchi wa kawaida kabisa.

Imepita takriban wiki tatu baada ya mauaji ya wananchi wa kawaida hasa vijana.

Mauaji, kuteka watu sasa katika utawala wa CCM kwa sasa ni mambo ya kawaida na CCM IMEYARUHUSU kwakukaa kimya.
Kwa tulio wanachama wa kawaida hatupendi kihusishwa na CCM ya mauaji na kandamizi.

Uongozi uliopo uondolewe.
 
Ccm wamenifunza kitu,ni kwamba ukiamua kufanya jambo la hovyo basi komaa nalo na usije ukaonekana na aibu au kujuta mbele za watu

Yaan ukiamua kuwa mtu wa hovyo wewe endelea humo humo kwenye uhovyo hovyo wako,usije ukatoka kwenye mstari

Mazungumzo ya Msigwa yamenitafakarisha sana,yaan ccm wote ni zero brain afu hawana hata wasiwasi
 
Muuaji anajilaani vipi? Anajua aliyemuua ndio mkosaji yeye yupo perfect analinda amani kwa nguvu zao zote wanasema
 
Ccm wamenifunza kitu,ni kwamba ukiamua kufanya jambo la hovyo basi komaa nalo na usije ukaonekana na aibu au kujuta mbele za watu

Yaan ukiamua kuwa mtu wa hovyo wewe endelea humo humo kwenye uhovyo hovyo wako,usije ukatoka kwenye mstari

Mazungumzo ya Msigwa yamenitafakarisha sana,yaan ccm wote ni zero brain afu hawana hata wasiwasi
CCM si chama cha wananc tena. CCM nimkusanyiko la mafisadi wanaolinda maslahi yao kuitumia serikali.
Ni lazima wataondoshwa.
 
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
CCM kwa sasa haiwakilishi wananchi na sasa ni chama cha mahafidhina.
 
Back
Top Bottom