Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
CCM si chama cha wananc tena. CCM nimkusanyiko la mafisadi wanaolinda maslahi yao kuitumia serikali.Ccm wamenifunza kitu,ni kwamba ukiamua kufanya jambo la hovyo basi komaa nalo na usije ukaonekana na aibu au kujuta mbele za watu
Yaan ukiamua kuwa mtu wa hovyo wewe endelea humo humo kwenye uhovyo hovyo wako,usije ukatoka kwenye mstari
Mazungumzo ya Msigwa yamenitafakarisha sana,yaan ccm wote ni zero brain afu hawana hata wasiwasi
Uongozi wa CCM umeichafua nchi kwa kiwango ambacho haijawahi tokea toka uhuru.