Nadhani moja ya sharti lao ni kuwa tukipitia mitaa ya hapo Lumumba tusisikie hata harufu ya Polepole, shauri yenuYaani Makamba na Kinana wakahojiwe na mpiga kelele Polepole!!!
jina lako linasadifu akili zako.
Nimekuambia weka ushahidi wewe unaniletea kingereza chako cha fb hapa! Punguza povu dada yangu.No hakuingia.... wanajeshi hawayumbishwi
u happy now?[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu jamaa alikuwa anawaita akina nani wapumbavu waliomo humo kwenye gari au ni akina nani?!
Sina uwezo wa kuzuia cu-comment nawe unafahamu hivyo ila i am stating the fact.Mkuu kutotekeleza kwao hakuhalalishi makosa yao au kutuzuia ku-comment pale tunapokuwa na utashi wa kufanya hivyo
Nimekuambia weka ushahidi wewe unaniletea kingereza chako cha fb hapa! Punguza povu dada yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye picha ya Mzee Makamba akiwa ndani ya ofisi hapo Lumumba jana aiweke tafadhali maana nimeona ile aliyokuwa kwenye gari akiongea na Bashiru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.
Wakina Makamba walikuwa wana beep moto wa Magufuli.Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time.
Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM?
Tunaelewa kwamba Kamati ya Maadili ilikuwa Dodoma, ambako ndiko Membe alihojiwa. Je tuseme ilibidi wajumbe wa kamati ya maadili wakimbizwe kuja Dar Salaam kuwahoji Kinana na Makamba baada ya kuachwa solemba wakiwasubiri kule Dodoma?
Tuambieni ukweli kwamba:
Ikiwa hivyo ndivyo, nawapongeza sana Kinana na Makamba kwa busara walizotumia hadi sasa. Natumaini walimwambia Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM kwamba awamu ya tano waache tabia chafu ya kudukua maongezi binafsi ya viongozi waliostaafu na waliopo madarakani, kwa kuwa sio tu ni tabia ya kimbea bali pia inavunja sheria za nchi.
- Kinana na Makamba wamegoma kwenda Dodoma kuifuata Kamati ya Maadili
- Kinana na Makamba wameifichia CCM aibu kwa kuonyesha kwamba wameitikia wito kwa masharti kwamba hawatakwenda Dodoma bali watakuja Dar esSalaam kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM
- Kinana na Makamba wamewapa masharti CCM kwamba lazima mapokezi yao yaonyeshe hakuna bifu kati yao na CCM kwa viongozi wakuu wa CCM kuwapokea kwa shangwe pale Lumumba kwa ajili ya kupigwa picha.
Naona Magufuli aliwajibu lakini wakaifanya reverse call!Wakina Makamba walikuwa wana beep moto wa Magufuli.
Wewe shuleni ulienda kujifunza upumbavu, nilikuambia kitu kidogo tu,weka ushahidi wewe unaniletea maelezo meeeengi mara bimkubwa wako,mara binti zako mara michepuko. Ndiyo maana mnashindwa mitihani.Jibu swali uliloulizwa.povu unalo wewe na kuweweseka baada ya uzushi jike wa akina Kinana kugoma kwenda kikaoni kubuma...
Kuwa dada sio dhambi hasa ukizimgatia i love mamangu, dadangu, binti zangu na michepuko[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ni ya nje? Makamba yuko wapi hapa?Picha za ndani ni classified "confidential "
Huyu dogo kama havuti bangi, basi kuna tatizo mahali.Na huyu Polepole kakazana akisema mmoja wapo wa "watuhumiwa" alikuwa na makontainer 700 bandarini hataki kuyalipia kodi na akalazimishwa na Magufuli na ndio kisa kizima cha kuichukia awamu ya tano, na kwamba lazima wahojiwe.
Polepole atuambie kama ameweza kuwahoji sasa.
Mbolea imedunda wadudu wamesha changanyaHuyu dogo kama havuti bangi, basi kuna tatizo mahali.
Hizo kontena aliziona? Tunawezaje kuamini maneno yasiyo na mashiko kama hayo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.
Mvurugano ndani ya CCM kwa sasa, kwa kuwa CCM ni chama tawala, unaweza kuwa mvurugano kwa serikali na uongozi wa nchi kwa ujumla. Kwa hiyo hapo ninakuwa na interest. Tatizo lako kubwa ni kwamba you hate anyone that says something negative about CCM.Sometimes for public organizations to be constructive, they need to be criticized and shamed. Inaitwa constructive negative portrayal. CCM get your house in order stop behaving like kids.Yanakuhusuje kwa mfano. Kuijadili CCM kwako huwa una majibu kabisa. Sasa wawe wameitwa Dodoma au dar. Wewe Hapo Shida yako nini hasa. Hapa huonekani kama una interest na CCM kama Public Organisation but kama MMBEYA anayetafuta mabaya yake. Soma hoja zako. Huna tofauti na binti wa kigodoro. It’s time that you grow up. Sema kuwa You hate CCM for your own personal reasons and hatuhitaji kuzijua because it’s about you and your own life. Acha kujificha kwenye mwavuli „PUBLIC INTEREST „ inaonyesha how weak you are as a person. Lakini ushauri wa bure, hata ukiwa unalipwa au kutumwa Basi bakiza na akili yako mwenyewe.
Kwa hiyo tunaweza kusema mzee aliishia nje hakutaka hata kuingia ofisiniMwenye picha ya Mzee Makamba akiwa ndani ya ofisi hapo Lumumba jana aiweke tafadhali maana nimeona ile aliyokuwa kwenye gari akiongea na Bashiru.
Sent using Jamii Forums mobile app