CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

Hawa wazee walikataa kwenda kuhojiwa, mwenyekiti wa chama akaombwa aende kwa Che Mkapa amwombe ili akawabebeleze hawa wazee waonane hata na viongozi wa chama Lumumba ili kuondoa mentality ya kwamba wamegoma kwenda kuhojiwa na wameamua kupumzika siasa. Jambo la kujulikana kwamba wamegoma au wameachana na siasa za CCM lingeleta mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wanachama. Hawa wazee wamekitumikia chama kwa muda mrefu, kuna watu wengi ndani ya CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wamepitia katika mikono ya hawa wazee hadi hatua waliopo sasa. Hivyo kupuuzwa kwao kungekuwa na athari kwa viongozi wa chama waliopo madarakani, kwa kuonekana na baadhi ya wanachama kwamba wanakivuruga chama. Jambo la mgawanyiko ndani ya chama lingeathiri kwa kiasi fulani mshikamano wa wanachama kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
 
Mkuu kutotekeleza kwao hakuhalalishi makosa yao au kutuzuia ku-comment pale tunapokuwa na utashi wa kufanya hivyo
Sina uwezo wa kuzuia cu-comment nawe unafahamu hivyo ila i am stating the fact.
Wengi wetu humu mnapenda kufuata mkumbo bila kutumia logic na iwapo anatokea mtu ambaye anaangalia the other side of the coin mna-mbrand.
 
povu unalo wewe na kuweweseka baada ya uzushi jike wa akina Kinana kugoma kwenda kikaoni kubuma...

Kuwa dada sio dhambi hasa ukizimgatia i love mamangu, dadangu, binti zangu na michepuko[emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekuambia weka ushahidi wewe unaniletea kingereza chako cha fb hapa! Punguza povu dada yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.

Hususan kikiwa chama tawala ndio zaidi kwani ndicho husimamia serikali inayoongoza nchi
 
Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time.

Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM?

Tunaelewa kwamba Kamati ya Maadili ilikuwa Dodoma, ambako ndiko Membe alihojiwa. Je tuseme ilibidi wajumbe wa kamati ya maadili wakimbizwe kuja Dar Salaam kuwahoji Kinana na Makamba baada ya kuachwa solemba wakiwasubiri kule Dodoma?

Tuambieni ukweli kwamba:
  1. Kinana na Makamba wamegoma kwenda Dodoma kuifuata Kamati ya Maadili
  2. Kinana na Makamba wameifichia CCM aibu kwa kuonyesha kwamba wameitikia wito kwa masharti kwamba hawatakwenda Dodoma bali watakuja Dar esSalaam kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM
  3. Kinana na Makamba wamewapa masharti CCM kwamba lazima mapokezi yao yaonyeshe hakuna bifu kati yao na CCM kwa viongozi wakuu wa CCM kuwapokea kwa shangwe pale Lumumba kwa ajili ya kupigwa picha.
Ikiwa hivyo ndivyo, nawapongeza sana Kinana na Makamba kwa busara walizotumia hadi sasa. Natumaini walimwambia Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM kwamba awamu ya tano waache tabia chafu ya kudukua maongezi binafsi ya viongozi waliostaafu na waliopo madarakani, kwa kuwa sio tu ni tabia ya kimbea bali pia inavunja sheria za nchi.
Wakina Makamba walikuwa wana beep moto wa Magufuli.
 
povu unalo wewe na kuweweseka baada ya uzushi jike wa akina Kinana kugoma kwenda kikaoni kubuma...

Kuwa dada sio dhambi hasa ukizimgatia i love mamangu, dadangu, binti zangu na michepuko[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe shuleni ulienda kujifunza upumbavu, nilikuambia kitu kidogo tu,weka ushahidi wewe unaniletea maelezo meeeengi mara bimkubwa wako,mara binti zako mara michepuko. Ndiyo maana mnashindwa mitihani.Jibu swali uliloulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za ndani ni classified "confidential "
Na hii ni ya nje? Makamba yuko wapi hapa?
tapatalk_1581494066263.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyu Polepole kakazana akisema mmoja wapo wa "watuhumiwa" alikuwa na makontainer 700 bandarini hataki kuyalipia kodi na akalazimishwa na Magufuli na ndio kisa kizima cha kuichukia awamu ya tano, na kwamba lazima wahojiwe.

Polepole atuambie kama ameweza kuwahoji sasa.
Huyu dogo kama havuti bangi, basi kuna tatizo mahali.
Hizo kontena aliziona? Tunawezaje kuamini maneno yasiyo na mashiko kama hayo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.

Yanakuhusuje kwa mfano. Kuijadili CCM kwako huwa una majibu kabisa. Sasa wawe wameitwa Dodoma au dar. Wewe Hapo Shida yako nini hasa. Hapa huonekani kama una interest na CCM kama Public Organisation but kama MMBEYA anayetafuta mabaya yake. Soma hoja zako. Huna tofauti na binti wa kigodoro. It’s time that you grow up. Sema kuwa You hate CCM for your own personal reasons and hatuhitaji kuzijua because it’s about you and your own life. Acha kujificha kwenye mwavuli „PUBLIC INTEREST „ inaonyesha how weak you are as a person. Lakini ushauri wa bure, hata ukiwa unalipwa au kutumwa Basi bakiza na akili yako mwenyewe.
 
Mvurugano ndani ya CCM kwa sasa, kwa kuwa CCM ni chama tawala, unaweza kuwa mvurugano kwa serikali na uongozi wa nchi kwa ujumla. Kwa hiyo hapo ninakuwa na interest. Tatizo lako kubwa ni kwamba you hate anyone that says something negative about CCM.Sometimes for public organizations to be constructive, they need to be criticized and shamed. Inaitwa constructive negative portrayal. CCM get your house in order stop behaving like kids.
 
Back
Top Bottom