CCM, Serikali Mbili Zilizoboreshwa, na Hatima Ya Muungano

Maoni yepi?
Tuambie tuelewe. Sijaona mabunge matatu bado.
 
Maoni yepi?
Tuambie tuelewe. Sijaona mabunge matatu bado.

Unafuatilia maoni ya Kamati za bunge Dodoma, hasa maoni ya walio wengi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyuma ya sinema hii ya kutisha sijui kuna nani........? kwani MaCCM na wenye mtazamo hafifu wa fikra hawalioni hili........lengo kuu la kundi hilo ni kuipeleka Zanzibar na Tanganyika kwenye inchi moja isiyo ya muungano.........swala la serikali moja ua tatu ni la kubabaisha ili wafunike kombe mwanaharamu apite tu...........................!!!!!!!!!
 
Mkuu huo ndio ukweli wenyewe safi sana kwa comments zako.........Historia itajirudia na hapo ndipo wale wote wanaoliingiza taifa hili kwenye matumizi mabovu ya mali, machafuko ya fikra, na kutokutimiza majukumu yao lazima mkono wa sheria uwaguse.............Unafiki ni kitu kibaya sana.....baadhi ya Wajumbe wa BMLK wanakuwa 'Mabubu', nashangaa sana..........!!!!
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…