Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
BAO LA MKONO Uchaguzi huru na HAKI CCM ni MAITINape aliigalagaza Chadema ya Lowassa 2015
Lowassa akastaafu na siasa kabisa
Ona huyu naeNape aliigalagaza Chadema ya Lowassa 2015
Labda kama ulikuwa bado uko Sanya juuOna huyu nae
Whao prove itCCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Na CCM ya akina Nape ndiyo imerudi ulingoni mtakomaje Sukuma Gang?CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Wakati umeshaongea na Nape pamoja na Magu kila mmoja yupo anapostahili, mwisho wa ubaya ni aibu.CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Yule aliyekuwa akipoteza na kuuwa wapinzani na kuiba chaguzi hakuwa failed leader.CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Ccm ya jpm ndo watu wangechaniwa kabisa mpaka chupi Ila sema tu tupiongozwa kinguvu Sana na kulazimishwa kuipenda ccm hata Kama hatutaki. Watu waliuawa Kama kuku kila konaCCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Awamu hii mtateseka sanaHuyu Nepi anatudhalilisha mno wana CCM sasa hivi tunatembea kwa aibu na kujificha kama zamani enzi za awamu ya nne.
Zile nguo zilipokuwa zinachanwa, Nape alikuwa hajazaliwa.CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Naona umeamua kupambana na kada mwenzako wa Ccm, hakikisha haya unayoandika humu yanamfikia.CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Nyuma ya andiko lako mbele kwa mbele 2025, kwa kujipanga vizuri na kutumia fursa ya ombwe la uongoziCCM ya Magufuli ndio ilichukiwa na wananchi kupita kiasi, ndio maana akaamua kutumia kundi lake la watu wasiojulikana kufanyia ukatili wasiomsujudia. Na udhibitisho kuwa Ccm ya Magufuli haikuwa inakubalika ni pale alipoamua kupora uchaguzi baada ya kuona matokeo yanaimaliza ccm.
Haha mungu ameamua ugonviCCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi