Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana
waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea