CCM si wafalme, CCM ya akina NAPE ilichukiwa sana na wananchi watu walichaniwa nguo hadharani huyu Nape ni failed leader hana jipya

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
 
Whao prove it
 
Huyu Nepi anatudhalilisha mno wana CCM sasa hivi tunatembea kwa aibu na kujificha kama zamani enzi za awamu ya nne.
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Na CCM ya akina Nape ndiyo imerudi ulingoni mtakomaje Sukuma Gang?
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Wakati umeshaongea na Nape pamoja na Magu kila mmoja yupo anapostahili, mwisho wa ubaya ni aibu.
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea

CCM ya Magufuli ndio ilichukiwa na wananchi kupita kiasi, ndio maana akaamua kutumia kundi lake la watu wasiojulikana kufanyia ukatili wasiomsujudia. Na udhibitisho kuwa Ccm ya Magufuli haikuwa inakubalika ni pale alipoamua kupora uchaguzi baada ya kuona matokeo yanaimaliza ccm.
 
Yule aliyekuwa akipoteza na kuuwa wapinzani na kuiba chaguzi hakuwa failed leader.
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Ccm ya jpm ndo watu wangechaniwa kabisa mpaka chupi Ila sema tu tupiongozwa kinguvu Sana na kulazimishwa kuipenda ccm hata Kama hatutaki. Watu waliuawa Kama kuku kila kona
 
Kijana Huyu Nape kakuchukulia Mke wako hivi karibuni au ? Maana naona hizi ni personal attacks not system .
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Zile nguo zilipokuwa zinachanwa, Nape alikuwa hajazaliwa.
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Naona umeamua kupambana na kada mwenzako wa Ccm, hakikisha haya unayoandika humu yanamfikia.
 
CCM ya Magufuli ndio ilichukiwa na wananchi kupita kiasi, ndio maana akaamua kutumia kundi lake la watu wasiojulikana kufanyia ukatili wasiomsujudia. Na udhibitisho kuwa Ccm ya Magufuli haikuwa inakubalika ni pale alipoamua kupora uchaguzi baada ya kuona matokeo yanaimaliza ccm.
Nyuma ya andiko lako mbele kwa mbele 2025, kwa kujipanga vizuri na kutumia fursa ya ombwe la uongozi
 
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi

Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana

waziri mzima kama Nape haongelei hizi changamoto lkn kampeni nzima anabaki anabwabwaja tu kutaja marehemu muda ni wakati mzuri utaongea
Haha mungu ameamua ugonvi
 
Back
Top Bottom