Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Na hapo ndipo maana halisi ya demokrasia inapokufa, hiyo inathibitisha kifo cha kidemokrasia Tanzania, maana halisi ya demokrasia ni kuwa na vyama pinzani vyenye mlingano na kubalance hali ya kisiasa, uchumi na maendeleo kiujumla.Ni sawa na kusifia timu moja ya mpira kuchukua kombe tangu mashindano kuumbwa! Jambo linaloonfoa maana halisi ya mashindano. Unaweza kushinda mara nyingi lakini si mara zote. Hata Simba na Yanga hupokezana! This is stupidity!