GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa

kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah. Waliteka ndege ya Air Tanzania Corporation (ATC) aina ya Boeing 737 Lengo kuu la utekaji huo lilikuwa kushinikiza kujiuzulu kwa Rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere, wakipinga sera zake za ujamaa na utawala wake

Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari ya ndani ya nchi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam (Ijumaa, Februari 26, 1982) lakini ililazimishwa kuruka kwenda Nairobi, Jeddah (Saudi Arabia), Athens (Ugiriki), na hatimaye ikatua Stansted, Uingereza (Ulaya), ambapo tukio hilo liliisha

Kwa kipindi kile kulikua na kiongozi mmoja maarufu anaitwaa Oscar Kambona, vijana hawa waliamini oscar atawaunga mkono kwa walichofanya lakini mwisho kabisa Waetekaji walijisalimisha kwa polisi wa Uingereza huko Stansted na walipelekwa mahakamani nchini humo. Waliachia mateka wote salama ingawa kuna ripoti zinazokinzana kuhusu kama kulikuwa na vifo wakati wa utekaji kabla ya kutua Stansted

Kwann natoa mfano huu: Yawezekana kuna watu wanaamini kabisa wanaweza wakaamua mda wowote kumuondoa kiongozi yoyote madarakani kisa kiongozi wao hajashinda uchaguzi, hilo haliwezekani
CCM ni chama chenye siasa pana ukanda wote wa afrika na hakuna chama kinaweza kufika ata robo ya ukubwa wake, CCM kilipata utambulisho rasmi kama chama kikubwa kuliko vyote afrika mwaka 2010, mpaka mwaka 2022 CCM ilikua mpaka kutambulika kama chana #10 dunia nzima,

CCM inaheshimika sana katika harakati nyingi za barani afrika kuanzia ukombozi wa nchi kadhaa mpaka siasa zaa ujumla ndan ya afrika, hivo tunaweza kusema CCM ndo chama kikuu afrika!
 
So what's the point? Umesikia haya ni mashindano ya mpira? Do you know what democracy is? What is 'Ukubwa wa chama'? Huu ni uthibitisho kwamba Democracy is in critical condition! Ni sawa na kujivunia nchi kuwa na jela zilizojaa zaidi Afrika! This shows how unbalanced democracy is in Tanzania, Very useless argument.
 
Malengo ya wakati huo ni tofauti na ya kipindi hiki.

Zamani ilikuwa ni "youth democracy" saizi ni Wananchi

Zamani shida waliyoiona ilikuwa ni waziri mkuu lakini saizi ni serikali nzima ya CCM

Kipindi hicho adui alijulikana, lakini kipindi hiki kuna maadui wengi ambao wako karibu na viongozi wakubwa na hawajawagundua na usikute wanawashirikisha mipango yao mingi (no wonder kumekuwa na leakage kwenye sensitive info)

Unaweza kutumia nguvu kubwa kupambana na adui wa nje halafu mwisho ukaja kuangushwa na mtu ambaye hukumtegemea kuwa anaweza kuwa tishio kwako.

Hii ndio tofauti.

Nb:Tesha aliwaasa kuwa hamuwezi kutumia mbinu za jana kwenye vita ya leo.
 
Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa

kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah. Waliteka ndege ya Air Tanzania Corporation (ATC) aina ya Boeing 737 Lengo kuu la utekaji huo lilikuwa kushinikiza kujiuzulu kwa Rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere, wakipinga sera zake za ujamaa na utawala wake

Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari ya ndani ya nchi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam (Ijumaa, Februari 26, 1982) lakini ililazimishwa kuruka kwenda Nairobi, Jeddah (Saudi Arabia), Athens (Ugiriki), na hatimaye ikatua Stansted, Uingereza (Ulaya), ambapo tukio hilo liliisha

Kwa kipindi kile kulikua na kiongozi mmoja maarufu anaitwaa Oscar Kambona, vijana hawa waliamini oscar atawaunga mkono kwa walichofanya lakini mwisho kabisa Waetekaji walijisalimisha kwa polisi wa Uingereza huko Stansted na walipelekwa mahakamani nchini humo. Waliachia mateka wote salama ingawa kuna ripoti zinazokinzana kuhusu kama kulikuwa na vifo wakati wa utekaji kabla ya kutua Stansted

Kwann natoa mfano huu: Yawezekana kuna watu wanaamini kabisa wanaweza wakaamua mda wowote kumuondoa kiongozi yoyote madarakani kisa kiongozi wao hajashinda uchaguzi, hilo haliwezekani
CCM ni chama chenye siasa pana ukanda wote wa afrika na hakuna chama kinaweza kufika ata robo ya ukubwa wake, CCM kilipata utambulisho rasmi kama chama kikubwa kuliko vyote afrika mwaka 2010, mpaka mwaka 2022 CCM ilikua mpaka kutambulika kama chana #10 dunia nzima,

CCM inaheshimika sana katika harakati nyingi za barani afrika kuanzia ukombozi wa nchi kadhaa mpaka siasa zaa ujumla ndan ya afrika, hivo tunaweza kusema CCM ndo chama kikuu afrika!
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
CCM ya Nyerere ndo ufananishe na CCM ya sasa ambayo inateka wakosoaji mzima kweli kipindi cha Nyerere ndo kulikua kuna wakosoaji kama wote
 
kwan kuna kipindi ccm imekosa wakosowaji
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
😂 😂 hujakula mkuu, badilisha text kila sku hio hio
 
Malengo ya wakati huo ni tofauti na ya kipindi hiki.

Zamani ilikuwa ni "youth democracy" saizi ni Wananchi

Zamani shida waliyoiona ilikuwa ni waziri mkuu lakini saizi ni serikali nzima ya CCM

Kipindi hicho adui alijulikana, lakini kipindi hiki kuna maadui wengi ambao wako karibu na viongozi wakubwa na hawajawagundua na usikute wanawashirikisha mipango yao mingi (no wonder kumekuwa na leakage kwenye sensitive info)

Unaweza kutumia nguvu kubwa kupambana na adui wa nje halafu mwisho ukaja kuangushwa na mtu ambaye hukumtegemea kuwa anaweza kuwa tishio kwako.

Hii ndio tofauti.

Nb:Tesha aliwaasa kuwa hamuwezi kutumia mbinu za jana kwenye vita ya leo.
adui gan mkuu ama kisa kuongozi wenu kashindwa kujibu mashtaka 😂😂
 
CCM ndani ya Tanzania ndio chama Bora zaidi, mfumo na muundo wa CCM hakuna hata chama kimoja ndani ya Tanzania ambacho kinafikia hata robo ya umadhubuti wake.
Watanzania kama walivyo binadamu wengine yeyote anapenda kujaribu kitu kipya hili ndio lilipo.
Ninahakika ikitokea awamu yeyote CCM ikatolewa madarakani awamu inayofuata kitarudi madarakani na kitaongoza kwa muda mrefu zaidi maana historia wanayoitaka itakuwa imeshaandikwa ya namna vyama vya upinzani vilivyovichanga kupewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom