Ccm ya zamani ni tofauti sana na hiyo ya sasa ya mafisadi, watekaji, wauaji...
View: https://youtube.com/shorts/Pvh2v918XRo?si=xvuIwPrMxf4-AFY8
sahihi kabisa mkuuCCM ndani ya Tanzania ndio chama Bora zaidi, mfumo na muundo wa CCM hakuna hata chama kimoja ndani ya Tanzania ambacho kinafikia hata robo ya umadhubuti wake.
Watanzania kama walivyo binadamu wengine yeyote anapenda kujaribu kitu kipya hili ndio lilipo.
Ninahakika ikitokea awamu yeyote CCM ikatolewa madarakani awamu inayofuata kitarudi madarakani na kitaongoza kwa muda mrefu zaidi maana historia wanayoitaka itakuwa imeshaandikwa ya namna vyama vya upinzani vilivyovichanga kupewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi.
Kwa nini kinaogopa uchaguzi huru ? Kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?CCM ndani ya Tanzania ndio chama Bora zaidi, mfumo na muundo wa CCM hakuna hata chama kimoja ndani ya Tanzania ambacho kinafikia hata robo ya umadhubuti wake.
Watanzania kama walivyo binadamu wengine yeyote anapenda kujaribu kitu kipya hili ndio lilipo.
Ninahakika ikitokea awamu yeyote CCM ikatolewa madarakani awamu inayofuata kitarudi madarakani na kitaongoza kwa muda mrefu zaidi maana historia wanayoitaka itakuwa imeshaandikwa ya namna vyama vya upinzani vilivyovichanga kupewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi.
Aah wapi,umezaliwa juzi bila shaka mkuu,
Sio kirahisi ila chama legelege kwenye dola na dolari!Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa
kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah. Waliteka ndege ya Air Tanzania Corporation (ATC) aina ya Boeing 737 Lengo kuu la utekaji huo lilikuwa kushinikiza kujiuzulu kwa Rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere, wakipinga sera zake za ujamaa na utawala wake
Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari ya ndani ya nchi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam (Ijumaa, Februari 26, 1982) lakini ililazimishwa kuruka kwenda Nairobi, Jeddah (Saudi Arabia), Athens (Ugiriki), na hatimaye ikatua Stansted, Uingereza (Ulaya), ambapo tukio hilo liliisha
Kwa kipindi kile kulikua na kiongozi mmoja maarufu anaitwaa Oscar Kambona, vijana hawa waliamini oscar atawaunga mkono kwa walichofanya lakini mwisho kabisa Waetekaji walijisalimisha kwa polisi wa Uingereza huko Stansted na walipelekwa mahakamani nchini humo. Waliachia mateka wote salama ingawa kuna ripoti zinazokinzana kuhusu kama kulikuwa na vifo wakati wa utekaji kabla ya kutua Stansted
Kwann natoa mfano huu: Yawezekana kuna watu wanaamini kabisa wanaweza wakaamua mda wowote kumuondoa kiongozi yoyote madarakani kisa kiongozi wao hajashinda uchaguzi, hilo haliwezekani
CCM ni chama chenye siasa pana ukanda wote wa afrika na hakuna chama kinaweza kufika ata robo ya ukubwa wake, CCM kilipata utambulisho rasmi kama chama kikubwa kuliko vyote afrika mwaka 2010, mpaka mwaka 2022 CCM ilikua mpaka kutambulika kama chana #10 dunia nzima,
List of largest political parties - Wikipedia
en.wikipedia.org
CCM inaheshimika sana katika harakati nyingi za barani afrika kuanzia ukombozi wa nchi kadhaa mpaka siasa zaa ujumla ndan ya afrika, hivo tunaweza kusema CCM ndo chama kikuu afrika!
Democracy na chama kinachoongoza nchi tangu uhuru ni chama kimoja! That's not democracy! Ni danganya toto! Hakuna mashindano ambayo mshindi ni mmoja since kuanzishwa hayo mashindano! Hata hao marekani wanabalance Democrats & Republican ili kuwe na mzania sawa.unaelewa nn kuhusu democracy mkuu ama mpaka marekani waseme ni demokrasia
Uchaguzi huru ni Uchaguzi ambao tume nzima ya uchaguzi haitakuwa inateuliwa na mwenyekiti wa CCM na kusimamiwa na makada wa CCM kama maafisa uchaguzi.uchaguzi huru ni mpaka kiongozi wako ashinde mkuu au sio
kiatu cha Magu kilikua kikubwa sana baada ya Magu tullitakiwa tumpe labda Kasimu Majaliwa Uzembe uwajibikaji serikali sasa ni balaaaje mkuu 😂
Hayo ni maoni yako, ila maelezo yako siyo sahihiaah mkuu historia ndogo kama hio unashindwaje
ndo maana nkakuuliza unaelewa nn kuhusu democracy, chama ni usajili wa kikundi ila binadam hubadilika, ingekua labda kiongozi ndo yule yule toka mwanzo apo ungesema amna democracyDemocracy na chama kinachoongoza nchi tangu uhuru ni chama kimoja! That's not democracy! Ni danganya toto! Hakuna mashindano ambayo mshindi ni mmoja since kuanzishwa hayo mashindano!