Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Legelege kwenye nyanja zote,uongozi,utawala,uchumi,haki,sheria,diplomasia,demokrasia,ushirikishwaji iwe wa jamii,kimaadili,huduma za jamii.Sijui ubora wao upo wapi,labda kwenye utekaji,uuwaji,ukosefu wa haki na ukandamizaji wa wananchi kiitikadi,kidemokrasia,kwenye haki,kwenye ukandamizaji kiuchumi na uovu wenye kuwa nufaisha wachache.nan alisema ni legelege mkuu, kina wachama wengi kushinda vyaam vyote afrika afisa