Miaka 60 ya CCM, Kwani maendeleo ni mwendo wa kobe?.Kwanini tusiwe na mfumo wa chama a kimoja au kufuta kabisa? kwasababu vyama vingi ni hasara kwa serikali na vyama vinyewe kuendesha kesi.Kwanini CCM imeshindwa kuthibiti upotevu wa nguvu kazi na watu wenye mawazo ya kulikomboa taifa? Mtoa mada Ukiulizwa, kati ya CCM na Tanzania unachagua kipi kimoja wapo? Kwanini CCM imeshindwa kuunda au kuendeleza viwanda vya magari, ndege, nguo, viatu n.k?mtoa mada kati ya demokrasia na Ukomonist kipi ni bora katika maendeleo ya taifa? unawashauri nini vijana waliopo vyama vingine wakiwa na matumaini ya ipo siku wataongoza taifa hili? Kati ya amani na Haki kipi kinaanza kwanza? Je, unaelewa nini misingi ya hoja na mfumo wa vyama vingi?Malalamiko ya raia yanayoendelea kwasasa unadhani wapo sahihi au wanakosea. Je, CCM kama chama kikubwa kinalipokeaje hili swala? Maana chenyewe ndo baba wa familia..uwajibikaji, Rushwa, Ufisadi, udini, ukabila, utekaji na uuwaji kwasasa ni chama kipi cha kukemea haya maswala.