Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.
Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.
Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete walifanikiwa kwasababu waliamini katika kugawana keki ya taifa kwa wote nyie mnatumia falsafa ya the winner takes it all alone hamuwezi kutoboa.
Mlikosea sana kumfumbia macho Rais Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya siasa wakati nyie mkiendelea nayo.
Tena msijifiche kwenye mambo ya ushoga hizi ni propaganda zenu za kitoto sababu kubwa ninamna jiwe alivyoendesha nchi kibabe kwa kutumia vyombo vya dola.
Kulikuwa na sababu gani ya kumpoteza Ben Saanane na Azory Gwanda au kumpiga risasi Lissu?
Kwakweli hili mmelikoroga wenyewe na mtalinywa wenyewe.
Hatuwezi kuiombea nchi na viongozi wake wakati neema yenu ni mateso yetu.
Mjue tunawaombea kila lililo baya ili mlipe uhalifu mliolifanyia taifa.