Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda na MambosasaKuhusu walio potezwa , watanzania tutafukua makuburi kama siyo leo kesho na hakika cold blooded murders watawajibishwa.
Kwa hizi hoja ulizotoa una haki ya kupiga kifua na kupaza sauti ukisema "Mimi ni mburula" mara 3Mimi nafikiri hoja sio kwenda Marekani, Marekani ni nchi kama nchi nyingine. Tanzania yetu itajengwa na watanzania wenyewe na sio Marekani. Hatuwezi kuwapigia magoti Marekani. Tuna imani na Rais wetu Mhe. Magufuli na viongozi wote aliowateua kwa kufanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya nchi yetu. Watanzania tuache fikra tegemezi, tuchape kazi.
Na uchaguzi ujao mtaijua ccm mpya.Tayarisheni wagombea msilielieCCM ni mwamba
Usidanganyike Marekani siyo wa hivyo.Nchi hii ni huru na Magufuli yuko huru na Wamarekani wanamheshimu JPM kama kiongozi halali wewe endelea kupoteza muda badala ya kujitafutia kipato. Maalimu Seif aliwahi piga kambi USA akiomba aapishwe kwa nguvu ya USA hadi kesho tunaye mtaani.Mungu ni mwema kila wakati na atatutendea Taifa letu yaliyo mema tu. Naamini Magufuli amechokwa na kila mtu mpaka na wale waliomsaidia kuiba kura akina Lubuva, Kipilimba, Nape na Kinana. Na lazima Mkutano Mkuu umtose kama mgombea wa CCM hapo August 2020. Kama washauri wake aliamua wawe ni akina Makonda, Bashiru Ally na Pole pole badala ya wazee wetu wastaafu wenye busara na upeo basi anawajibika kwa haya yanayotokea.
Naamini kama CCM wasipomtosa 2020 tutarajie machafuko makubwa nchini kwa kuwa Magufuli hawezi akapata hata 20% ya kura za kupigwa kwa sanduku la kura. Badala yake atafanya vituko zaidi kuliko uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019. Na wananchi hawatavumilia.
Atambue tu kuwa toka Uhuru wa Tanzania mwaka 1961 Taifa letu halijawahi kuwa na mstakabali mbovu wa kisiasa na kidiplomasia ya Dunia kama kipindi hiki. Kitendo cha Paul Makonda kuzuiwa kwenda Marekani ni ujumbe tu kuwa kuna mengi yanafuata. Mojawapo ni hili hapa;
![]()
The Trump administration has confirmed visa bans on four African countries, including Nigeria
"The administration’s expanded travel ban now affects close to a quarter of the population of the African continent."qz.com
Magufuli asijidanganye kuwa kwa vile huwa hasafiri nje ya Tanzania basi hayamhusu. Hapana, jina lake na la Kabudi, Mambosasa lipo tu kwa watu ambao hawatakiwi kwenda US, muda tu wa kutaja haujafika
Wamarekani wanazo details za udhaifu wa Serikali ya Magufuli ikiwa ni pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu, ukosefu wa utawala wa sheria, utekaji wa wakosoaji, kubambikia watu kesi, mauaji na ukandamizaji wa demokrasia ya vyama vya upinzani.
Magufuli asijidanganye kuwa anaweza kufanya Tanzania anavyoyaka kama anavyofanya kwenye familia yake, hapana!! Utulivu wa Tanzania una masilahi makubwa kwa nchi za Magharibi hasa US, UK na Germany. Tanzania ikitulia maana yake eneo zima la maziwa makuu limetulia. Waganda walipochafuana miaka ya 1970s walikimbilia Tanzania, Warundi na Wanyarwanda walipochafuana miaka ya 1960s nao walikuja Tanzania. Kuanzia 1960 mpaka 1990s Tanzania ilikuwa Makao makuu ya vyama vya ukombozi vya Afrika kama SWAPO, MPLA, ANC, PAC na ZANU.
Hata Wakenya mwaka 2008 walipouana ni Tanzania iliyohusika kuwapatanisha.
Nchi za Magharibi haziwezi kukubali Magufuli na Makonda waharibu amani ya nchi hii. CCM hamujachelewa mtupeni huyu Magufuli kwenye bahari kama Yona alivyotupwa alipokataa kwenda NINAWI ili chombo kiendelea na safari. Mkishindwa ataondolewa kwa nguvu na CCM itakuwa imekwisha kama iliyokwisha UNIP ya Kaunda au KANU ya Kenyatta. Uchaguzi ni wenu na muda munao, na uwezo munao.
Mimi nafikiri hoja sio kwenda Marekani, Marekani ni nchi kama nchi nyingine. Tanzania yetu itajengwa na watanzania wenyewe na sio Marekani. Hatuwezi kuwapigia magoti Marekani. Tuna imani na Rais wetu Mhe. Magufuli na viongozi wote aliowateua kwa kufanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya nchi yetu. Watanzania tuache fikra tegemezi, tuchape kazi.
Nguli wa diplomasia Membe kadhafanya yake huko kwa mabeberuCCM ni mwamba
Hii kitu ni serious, usilinganishe na chochote. Jiwe kaingia choo cha like this time.Usidanganyike Marekani siyo wa hivyo.Nchi hii ni huru na Magufuli yuko huru na Wamarekani wanamheshimu JPM kama kiongozi halali wewe endelea kupoteza muda badala ya kujitafutia kipato. Maalimu Seif aliwahi piga kambi USA akiomba aapishwe kwa nguvu ya USA hadi kesho tunaye mtaani.
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.
Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.
Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.
Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?
Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.
Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana. Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.!
[/QUOTE
Hao wabunge so wale wa "Large Sex Payers"

Noma sana!Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.
Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.
Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.
Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?
Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.
Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana. Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.!
Utoto umekuzidi, kwani makonda ni waziri mkuu au makamo wa Rais? Haya ni masuala ya ushoga
Soma hii
![]()
US sanctions Tanzanian official for targeting gays, others
The United States has sanctioned a Tanzanian official who sparked fear in the gay community by announcing plans to track and punish homosexuals in the East African nation. The U.S. statement Friday said Paul Christian Makonda, regional commissioner for Dar es Salaam, is accused of “targeting...www.sfchronicle.com