Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Yona amegoma kwenda ninawi jiji la waovu kupeleka injili merikebu inazama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAGAI GALGANO, Imetimia kwa staili tofauti
Na kweli ikawa yona akatoswa nchi ikatulia.CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.
Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.
Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete walifanikiwa kwasababu waliamini katika kugawana keki ya taifa kwa wote nyie mnatumia falsafa ya the winner takes it all alone hamuwezi kutoboa.
Mlikosea sana kumfumbia macho Rais Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya siasa wakati nyie mkiendelea nayo.
Tena msijifiche kwenye mambo ya ushoga hizi ni propaganda zenu za kitoto sababu kubwa ninamna jiwe alivyoendesha nchi kibabe kwa kutumia vyombo vya dola.
Kulikuwa na sababu gani ya kumpoteza Ben Saanane na Azory Gwanda au kumpiga risasi Lissu?
Kwakweli hili mmelikoroga wenyewe na mtalinywa wenyewe.
Hatuwezi kuiombea nchi na viongozi wake wakati neema yenu ni mateso yetu.
Mjue tunawaombea kila lililo baya ili mlipe uhalifu mliolifanyia taifa.
Soma hii kutoka kwa yogagani ya kumpoteza Ben
Iko hivi mr new culture, amechangamka kidogo! Tuseme nayeye ni born town anayechipukia kwenye upande wa kampuni yake!! Ame kuwa CEO Kwa miaka kadha wa kadha! Kuna kipindi alipaswa kuachia ngazi kwa mujibu wa utaratibu wa kampuni yao but haikuwa ivyo. Aliweza kufanya umafia wake na kubaki as CEO ndani ya kampuni yake!
Wapo vijana walimchallenge mr new culture as a CEO at the end of the Day they ended up dead or fired from the company!! Kuna kijna wake mmoja alie mtrain vya kutosha na kujizolea umaarufu wa kutosha! Kijana alitamani awe CEO amtoe mr new culture, nia yake ilishia kwenye grave yard!
Makonda ni shoga, hakuna ubishiHuyu Makonda mbona mwenyewe anatuhumiwa kwenye mambo hayo ya ushoga?
Anawezaje kuyapinga ama kuyakataza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa sahihi mno, hongera!CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.