Uchaguzi 2020 CCM taa nyekundu na muda unawatupa mkono mtoseni Yoha baharini mpone tufani

Uchaguzi 2020 CCM taa nyekundu na muda unawatupa mkono mtoseni Yoha baharini mpone tufani

Yona amegoma kwenda ninawi jiji la waovu kupeleka injili merikebu inazama
 
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.

Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.

Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete walifanikiwa kwasababu waliamini katika kugawana keki ya taifa kwa wote nyie mnatumia falsafa ya the winner takes it all alone hamuwezi kutoboa.

Mlikosea sana kumfumbia macho Rais Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya siasa wakati nyie mkiendelea nayo.

Tena msijifiche kwenye mambo ya ushoga hizi ni propaganda zenu za kitoto sababu kubwa ninamna jiwe alivyoendesha nchi kibabe kwa kutumia vyombo vya dola.

Kulikuwa na sababu gani ya kumpoteza Ben Saanane na Azory Gwanda au kumpiga risasi Lissu?

Kwakweli hili mmelikoroga wenyewe na mtalinywa wenyewe.
Hatuwezi kuiombea nchi na viongozi wake wakati neema yenu ni mateso yetu.

Mjue tunawaombea kila lililo baya ili mlipe uhalifu mliolifanyia taifa.
Na kweli ikawa yona akatoswa nchi ikatulia.
 
gani ya kumpoteza Ben
Soma hii kutoka kwa yoga
===
Iko hivi mr new culture, amechangamka kidogo! Tuseme nayeye ni born town anayechipukia kwenye upande wa kampuni yake!! Ame kuwa CEO Kwa miaka kadha wa kadha! Kuna kipindi alipaswa kuachia ngazi kwa mujibu wa utaratibu wa kampuni yao but haikuwa ivyo. Aliweza kufanya umafia wake na kubaki as CEO ndani ya kampuni yake!

Wapo vijana walimchallenge mr new culture as a CEO at the end of the Day they ended up dead or fired from the company!! Kuna kijna wake mmoja alie mtrain vya kutosha na kujizolea umaarufu wa kutosha! Kijana alitamani awe CEO amtoe mr new culture, nia yake ilishia kwenye grave yard!
 
Kwahiyo mulimtosa, ama lile " Joka likatalo" liliwasaidia freemason kumkatilia mbali,
Maana hizo pesa wanazowapa wasanii wenu maarufu wafanikiwe haraka haraka si ni kodi zetu wanazoiba freemason waliopo serikalini , kamwe hawafuji mapesa ya miradi yao binafsi, sasa yeye alitaka awapige pin wasiibe tena eti awasaidie wananchi kuondoa umasikini wao watakubali vipi waache kula bata kwa kodi zetu, alipojichanganya kwa " Joka likatalo " , waka mfigure out kiulaini sana maana yule ni demu wao haswa, kwahiyo alipewa assignment toka hukohiko alikogoma kusafiri , makao makuu ya freemason, wakishirikiana na wanachama wao wa hapa , mnaowaheahimu kama viongozi wenu wakubwa eti,
Kila nchi ipo katika plan ya hao mashetani kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa hivyo ukitaka kuinterfere projection zao katika eneo lolote sharti ujiamgalie sana, kiufupi yeye alifanikiwa kuwaintercept kwa kiwango kikubwa sana na matokeo yalishaanza kuonekana hatimaye kwa kazi zake, wasingekubali hilo lakini kujichanganya na lile Joka kumewarahisiahia sana,
 
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.

Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.

Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete walifanikiwa kwasababu waliamini katika kugawana keki ya taifa kwa wote nyie mnatumia falsafa ya the winner takes it all alone hamuwezi kutoboa.

Mlikosea sana kumfumbia macho Rais Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya siasa wakati nyie mkiendelea nayo.

Tena msijifiche kwenye mambo ya ushoga hizi ni propaganda zenu za kitoto sababu kubwa ninamna jiwe alivyoendesha nchi kibabe kwa kutumia vyombo vya dola.

Kulikuwa na sababu gani ya kumpoteza Ben Saanane na Azory Gwanda au kumpiga risasi Lissu?

Kwakweli hili mmelikoroga wenyewe na mtalinywa wenyewe.
Hatuwezi kuiombea nchi na viongozi wake wakati neema yenu ni mateso yetu.

Mjue tunawaombea kila lililo baya ili mlipe uhalifu mliolifanyia taifa.
Ulikuwa sahihi mno, hongera!
 
Back
Top Bottom