CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

Mkuu unatakiwa ushibishe taarifa yako ieleweke vizuri maana haujatoa hayo mauaji yamefanyika katika mazingira yapi ya kuhitaji polisi kuyafanyia uchunguzi wa haraka pia muwe mnatoa masikitiko wanapofanyiwa wapinzani wenu wa kisiasa wote wana mioyo na ndugu zao.
 
Hawa UVCCM si walitishia juzi kupiga wagombea wa upinzani? Kumbe ni wepesi kuuawa hivi? Safi sana yaliyofanya hivyo! Amebaki Kheri!
 
Polepole ameweka kwa kifupi kwenye ukurasa wake wa twitter.

Tusubiri taarifa ya polisi!
 
Una uhakika?

Sasa si utaje chanzo cha kifo chake! Hao polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi wa nini sasa! Isije ikawa mmemtoa wenyewe kafara ili baadae muwahusishe wapinzani wenu na mwisho wa siku muwahujumu kwenye uchaguzi mkuu.

Nyinyi MaCCM hamjawahi kuwa na roho za kibinadamu. Hamna kabisa tofauti na mashetani. Na hilo liko wazi.
 
Kwa hiyo huyo wa UVCCM nani kamuua kama sio chadema?

CDM huwa haiui wala kupiga risasi wananchi. Inaamini ktk uhai na afya ya kila mwanachi wa nchi hii. Wauaji Ni haohao wanajamba halafu wanakimbilia feni.......ati 'kwa masikitiko makubwa'. Shenzi.
 
Kwa tulipofika saivi ,naona mkono wa Mungu unatuokoa
 
Mgombea wa CCM Iringa mjini ni mtu wa makafara yule Mama. Kafanya yake kama Sadaka.
 
Nasubiri statement yao ya kulaani jaribio la kumwua Lisu, kupotea Ben, Azory na kuokotwa watu kwenye viroba
 
Kwani polepole alikuwepo?
 
Bwasheee tuseme kwa pamoja
R.I.P Alphonce Mawazo
R.I.P Akwelina
R.I.P VIONGOZI WOTE WA CHADEMA walio pokonywa uhai na watu wasio julikana
r.i.p Mlelwa
Bila hila polisi wafanye uchunguzi kwa wote kila binadamu ana haki ya kuishi kwa uhuru na amani
Machungu yasiwe kwa upande mmoja tu tutajenga Ufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…