Kipe Ya Yo
Member
- Sep 25, 2020
- 23
- 30
Mkuu unatakiwa ushibishe taarifa yako ieleweke vizuri maana haujatoa hayo mauaji yamefanyika katika mazingira yapi ya kuhitaji polisi kuyafanyia uchunguzi wa haraka pia muwe mnatoa masikitiko wanapofanyiwa wapinzani wenu wa kisiasa wote wana mioyo na ndugu zao.Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!