CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

Alipiuawa Alphonce Mawazo mlikaa kimya sasa ni zamu yenu kaeni kimya kama kawaida yenu
 
Kifo hiki kingetokea kwa kada wa Chadema, basi hii issue ingekuwa habari inayozungumziwa kila kona ya nchi. Polepole unafeli sana katika majukumu yako. Unatoa Amri kwa Jeshi la polisi wewe kama nani?
 
Huyo atakuwa alipora mke wa mtu. Au alidhulum mtu pesa zake. Amepigwa na wahuni wenzie

Mungu amlaze anapostahili.
 
Kipindi Alphonse Mawazo anacharangwa mapanga na mashoka sikuwahi kumsikia kiongozi yeyote wa Ccm akilaani tukio lile.

Mkuki huwa ni kwa nguruwe
 
Ameuawa kwenye ugoni? Vijana kazaneni na masomo haya ya uzinzi mbona mtayakuta tu! Kwa vile ni mwana-ccm wala sina uchungu wowote!
Wameenda kugombania mademu huko ona sasa bado umri mdogo kabisa
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
 
Duh![emoji19] [emoji51]
 
Ben saanane je??
 
Binafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.
Hapo itakuwa sawa na kumwamibia paka atafute aliyekuwa panya
 
Binafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.
Mkuu uko sahihi kabisa.ila swali ka kujiuliza kwanini Hawa wengine nashugulikia hakutoa maagizo waofanya matukio watafutwe na kukumatwa?. YESU alisema hivi. shetani hawezi kumtoa shetani mwezake. Kwa azoli,ben saanane.na Lisu. Hapa ni shetani hatoi shetani ndiyo maana hakuna agizo lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…