Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Marehemu alipendelea kuingilia mikutano ya wapinzani, hivyo amekipata alichokuwa anakitafutaChanzo cha kifo chake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu alipendelea kuingilia mikutano ya wapinzani, hivyo amekipata alichokuwa anakitafutaChanzo cha kifo chake ni nini?
Alipiuawa Alphonce Mawazo mlikaa kimya sasa ni zamu yenu kaeni kimya kama kawaida yenuKwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Huyo atakuwa alipora mke wa mtu. Au alidhulum mtu pesa zake. Amepigwa na wahuni wenzieKwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Ask them is it feeling sweety or ugly??Alipiuawa Alphonce Mawazo mlikaa kimya sasa ni zamu yenu kaeni kimya kama kawaida yenu
Kipindi Alphonse Mawazo anacharangwa mapanga na mashoka sikuwahi kumsikia kiongozi yeyote wa Ccm akilaani tukio lile.Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Wameenda kugombania mademu huko ona sasa bado umri mdogo kabisaAmeuawa kwenye ugoni? Vijana kazaneni na masomo haya ya uzinzi mbona mtayakuta tu! Kwa vile ni mwana-ccm wala sina uchungu wowote!
R.I.P MwangosiR.I.P. Daudi Mwangosi
Kwa mnayoyafanya Ccm hamna tofauti na shetani au mmezidi shetani hata sijui kama mnafahamu kuwa siku moja haktakuwepo duniani mnaishi kama mtakuwa milele.Nani shetani bwashee?
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Duh![emoji19] [emoji51]Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Ben saanane je??Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Ndio maana sana hasiraBwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Hapo itakuwa sawa na kumwamibia paka atafute aliyekuwa panyaBinafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.
Mkuu uko sahihi kabisa.ila swali ka kujiuliza kwanini Hawa wengine nashugulikia hakutoa maagizo waofanya matukio watafutwe na kukumatwa?. YESU alisema hivi. shetani hawezi kumtoa shetani mwezake. Kwa azoli,ben saanane.na Lisu. Hapa ni shetani hatoi shetani ndiyo maana hakuna agizo loloteBinafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.