Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyoShahidi wa kwanza huyu hapa amepatikana.
Yaani Chadomo ni waropokaji.
JPM 2020- 2025
CCM USHINDI NI JADI
Propaganda za kichina Magufuli muuaji periodBujibuji hawa Wanasiasa ukiwafuatilia saaana ni kicefuchefu, Nakumbuka pia Yule Mbunge Machachari wa CHADEMA Kamanda Chacha Wangwe alikufa soon baada ya Kuchokonoa Uenyekiti wa KUB ndani ya Chama chake, halafu baada ya Misheni kukamilika yule Bw. Mdogo Mallya aliyefanyakazi kwa Ufanisi akapewa Kitengo ndani ya Chama wala Wanachadema hakuna anayehoji.
Kuna yule Mlinzi wa KUB aliyekutwa Guest Mitaa ya Temeke amekufa mbona hao hatuoji na wakati mkanda mzima unajulikana.
Wanasiasa Mikono yao ni damu tuppuuu tuache kujitoa uffahamu kuwatetea pasipo kufunga milango.
Anyway Bujibuji yule Jini wa kule Mikocheni uliyegonga gari yake urafiki umefikia wapi Mkuuu.
The end justify the means, mpango ni nyumba kwa nyumba.Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
Je waliompiga Lisu risasi, Azory, Mawazo, Ben etc, mbona hakutoa agizo au aliwauma?Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
NAAMM...Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Ni lini ataagiza kusakwa kwa wauaji wa Ben Saanane? Lini ataagiza msako wa waliompiga risasi Lissu?Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Mawazo aliuwawa mchana kweupe hakuna hata kesi,kamanda Barlow Wa mwanza aliuwawa usiku ila wauwaji walipatikana,ccm acheni double standard. Hii nchi si yenu peke yenu.Waanze kwanza kumtafuta mpiga risasi wa shambulio la Lissu
Mwandishi huyu aisaidie polisiBwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Du, watu wamehifadhi kumbukumbu balaa.
Poor ccmMkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Upuuzi mtupu.Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.
RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.
Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.
Rip Mlelwa
Source ITV habari
Siasa siyo Uadui
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Na waliomwua Mawazo kule Geita wasakwe! Double standard sio jadi yetuBinafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.
Mkuu, yaani wangetumia tu akili kidogo. Wangewaachia polisi waseme wao wangebaki salama. Kumbe kuna wenye umuhimu zaidi sasa upinzani ukipata wafuasi zaidi inakuwajeWengine waliopotea nao vip ? Tuna Ben na Azory!!
Kwa kuwa ameuwawa mwana Uvccm ndio msako uwe mkali?Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.