CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

Shahidi wa kwanza huyu hapa amepatikana.

Yaani Chadomo ni waropokaji.

JPM 2020- 2025

CCM USHINDI NI JADI
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Bujibuji hawa Wanasiasa ukiwafuatilia saaana ni kicefuchefu, Nakumbuka pia Yule Mbunge Machachari wa CHADEMA Kamanda Chacha Wangwe alikufa soon baada ya Kuchokonoa Uenyekiti wa KUB ndani ya Chama chake, halafu baada ya Misheni kukamilika yule Bw. Mdogo Mallya aliyefanyakazi kwa Ufanisi akapewa Kitengo ndani ya Chama wala Wanachadema hakuna anayehoji.
Kuna yule Mlinzi wa KUB aliyekutwa Guest Mitaa ya Temeke amekufa mbona hao hatuoji na wakati mkanda mzima unajulikana.
Wanasiasa Mikono yao ni damu tuppuuu tuache kujitoa uffahamu kuwatetea pasipo kufunga milango.
Anyway Bujibuji yule Jini wa kule Mikocheni uliyegonga gari yake urafiki umefikia wapi Mkuuu.
Propaganda za kichina Magufuli muuaji period
 
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
The end justify the means, mpango ni nyumba kwa nyumba.

CCM ni magwiji wa siasa za Tanzania tuna mbinu zaidi ya 1000 za USHINDI.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Je waliompiga Lisu risasi, Azory, Mawazo, Ben etc, mbona hakutoa agizo au aliwauma?
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
NAAMM...
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Ni lini ataagiza kusakwa kwa wauaji wa Ben Saanane? Lini ataagiza msako wa waliompiga risasi Lissu?
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui

Wamesha mhoji mlelwa kupata pa kuanzia uchunguzi?
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui

Kazi kwlei kwlei unapokuw anamgombea anayefanya kampeni lakini wkati huohuo ni mkuu wa dola.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Poor ccm
 
Upuuzi mtupu.
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!

Police waanze na wewe utakuwa unajua!. Na ninishangaa mod... ameiacha hii comment inasomwa na kuhamasisha uendawazim mpaka mda huu, hii isije kuwa jf mnachagua nyuzi za kufuta kwa kuangalia mchangiaji anamlengo gani! Angekufa wa chadema na comment km hii angeshapigwa bun kitambo.
 
Alietaka kumuua Lissu yupo anajidai na mabunduki yanayomlinda, nae akamatwe arudishwe kwao.
 
Binafsi naunga mkono wasakwe popote pale, hata waliowapoteza Azory Gwanda na Ben Saanane na waliompiga risasi Tundu Lissu pia wasakwe kwa gharama yoyote ile.
Na waliomwua Mawazo kule Geita wasakwe! Double standard sio jadi yetu
 
Hao CCM tukiamua hawatasimama majukwaani maana wametutesa sana hatua hazichukuliwi na sisi lazima tujihami
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Kwa kuwa ameuwawa mwana Uvccm ndio msako uwe mkali?
 
Back
Top Bottom