CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

MAGUFULI, hivi hujui kuwa Ben Saanane alipotea mara tu baada ya kuhoji PhD yako ambayo thesis yako haionekano popote, lakini huoni haja ya kumtafuta, Wala hatujawahi kusikia ukiagoza atafutwe.
TUKUELEWEJE?
Bujibuji hawa Wanasiasa ukiwafuatilia saaana ni kicefuchefu, Nakumbuka pia Yule Mbunge Machachari wa CHADEMA Kamanda Chacha Wangwe alikufa soon baada ya Kuchokonoa Uenyekiti wa KUB ndani ya Chama chake, halafu baada ya Misheni kukamilika yule Bw. Mdogo Mallya aliyefanyakazi kwa Ufanisi akapewa Kitengo ndani ya Chama wala Wanachadema hakuna anayehoji.
Kuna yule Mlinzi wa KUB aliyekutwa Guest Mitaa ya Temeke amekufa mbona hao hatuoji na wakati mkanda mzima unajulikana.
Wanasiasa Mikono yao ni damu tuppuuu tuache kujitoa uffahamu kuwatetea pasipo kufunga milango.
Anyway Bujibuji yule Jini wa kule Mikocheni uliyegonga gari yake urafiki umefikia wapi Mkuuu.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui

Naunga mkono kuwa hao waalifu watafutwe. Lakini hayo maagizo yaa mkuu yako kama yameegemea upande mmoja.
Mbona matukio mengi yalishawahitokea yakiwepo ya mgombea urais, lakini hakutoa maagizo yeyote.
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!

Weeee! watakufuatilia ili ukatoe ushirikiano wa kuwakamata hao watu. Vipi unawajua hao waliompa hizo pesa?
 
Nasikitika kuwa chuki iliyokwenye vifua vya watu imetengenezwa na mfumo
 
Bujibuji hawa Wanasiasa ukiwafuatilia saaana ni kicefuchefu, Nakumbuka pia Yule Mbunge Machachari wa CHADEMA Kamanda Chacha Wangwe alikufa soon baada ya Kuchokonoa Uenyekiti wa KUB ndani ya Chama chake, halafu baada ya Misheni kukamilika yule Bw. Mdogo Mallya aliyefanyakazi kwa Ufanisi akapewa Kitengo ndani ya Chama wala Wanachadema hakuna anayehoji.
Kuna yule Mlinzi wa KUB aliyekutwa Guest Mitaa ya Temeke amekufa mbona hao hatuoji na wakati mkanda mzima unajulikana.
Wanasiasa Mikono yao ni damu tuppuuu tuache kujitoa uffahamu kuwatetea pasipo kufunga milango.
Anyway Bujibuji yule Jini wa kule Mikocheni uliyegonga gari yake urafiki umefikia wapi Mkuuu.
Kwahiyo Polisi imeshindwa kuchunguza vifo vinavyohisiwa kufanywa na CHADEMA? Naomba jibu
 
Kuna kitu kitaalamu tunasema FIFO (First In First Out) yani unamhudumia kwanza aliyetangulia alafu wanafata wengine na hiyo ni busara sio ya ccm wala ya magufuli bali ni busara na ustaarabu duniani kote.....
Nilitegemea hayo maagizo ayatoe kwa wote waliouawa, kupigwa risasi na kutekqa kipinda cha miaka yake 5 ya kishetani......

Nilitegemea mgombea mwenzake anayesubiri kuapishwa Tundu Lissu atapewa kipaumbele kwenye uchunguzi maana tukio lake lilikua la wazi kabisa...
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Kale ka-DC ka Hai sijui vipi nako? Kanaudhi kweli kweli!
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Wasakwe washughurikiwe haswa
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Akamate wananchi wote Basi Kama ndo ivo
 
Duh stone kwa ubaguzi hajambo. Wamekufa watu kibao amepiga kimya.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Source ITV habari

Siasa siyo Uadui
Waanze kwanza kumtafuta mpiga risasi wa shambulio la Lissu
 
Back
Top Bottom